habari jf,
Napenda tu kupata mawazo kutoka kwa wataalamu wa kutengeneza website wanaonaje muonekano na mpangilio wa website hii?:
http://maajabuyamaji.net/
Haya tena ma-great thinkers, baada ya...
Mwenye hii kitu anisaidie wakuu
nimetafuta free download nimeshindwa.hata ninayopata ni 1.4GB na yenyewe ni 30 days trial
mwenye nayo anisaidie kupitia
qq.com@hotmail.co.uk
Msaada wakuu. Hii browser iko poa sana, ila kuna issue inanitatiza kidogo. Kwenye ile version ya mwanzo nilikuwa naweza ku-save page kupitia: Options>Tools>Save Page. Kama kuna mtu anaejua namna...
wana JF mm sina uzoefu wa kutosha juu ya hizi printer.........ilka nataka kununua printer yenye uwezo wa ku-print passport size, karatasi kwa rangi zote coloured na coloures. so nahitaji kujua...
Kuna scam inatumwa via e-mail na kuweka jina lako kamili inayoahidi mapesa kiasi cha $5,000 kila siku baada ya wewe kutuma "Registration/Clearance fees" kama kawaida hii ni ya kuitupa in the...
Selling my old first generation xbox live.
Lens need to be cleaned..
If u are interested its for 100,000tsh
1 Xbox original pad
2 Xbox original games
Power chords and Standard AV cables...
Jamani naombeni msaada wenu, mm natumia king'amuzi cha Star Times, but kwa sasa sipati picha (Video) za Citizen TV, ninachokipata ni sauti (audio) tuuu....so help out great thinkers????
mfano kama utaluhusu *35*0000#kisha ok hapo utakuwa umesitisha cm ambazo utakuwa umepigiwa wala sms hutaweza kupata na simu yako bado itakuwa oni.we utaweza kupiga hata kutuma sms ila hawezi...
Kama kuna mtu anaejua websites za ku download movie free na maelekezo yake atpie hapa jamani ila ni kupitia proxy mazee ukiona una maujnja mengine lets share
Kila ninapojaribu kufumgua Email yangu ya Yahoo ili kusoma mails & mambo mengine naambiwa:
Error encountere!
Error encountered processing your last request!
Encontered Internal Server Error...
Hivi huu mkonga wa taifa umeshaanza kufanya kazi? Habari za mitaani ni kuwa unafanya kazi kupitia TCCL, kama habari hizo ni za kweli, basi mkonga wetu wa taifa la tanzania umechakachuliawa.kwani...
Jaman nina kalaptop kapya nimenunua Dell latitude E5520 betri yake inaonesha kuwa inatunza sana charge ila nilikuwa nina ka Hp fulan betri ikafa hivyo naombeni mnijuze namna gani naweza tunza...
ofisi yangu iko mwanza mjini, tumeunganisha static broadband access network ya tccl(kupitia wire) kwa karibu miezi 2. niliyegemea kwakuwa tccl ina mkongo wa taifa na hivyo basi kwa kujiunga nao...
Wadau mnaotumia airtel, hebu niambieni kuhusu spidi ya huu mtandao kwenye neti, maana mimi niliukimbia nikaenda voda ila naona voda wameanza kuwa kimeo. Leo nimeweka laini ya airtel na naona ina...
nahitaji hii programme lakini hawa jamaa wanadai huwezi kuitumia bila kulipia nifanyeje
inatumika kwenye animation za picha katika blogs,website nk
au mwenye nzuri zaidi naomba
zile za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.