Ndugu wanabodi, kamera yangu digital aina ya Sony imedondoka, lens ikiwa imefunguka katika standby mode. Inagoma kurudisha lens ndani kwa kuwa imepinda. Kwa anayejua fundi mzuri na mwaminifu wa...
natumia nokia 6120c,nna wiki sasa inagoma kusoma memory card,inasema file corupted ,nimebadili memory card zaidi ya 2 lakn wapi.ukiweka mpya inasoma baada ya kama lisaa limoja inagoma inasema file...
Wakuu kuna website inajitokeza kila napotaka kufungua Facebook na yenyewe kuingilia kati na kujifungua
Naombeni msaada wenu plz kwani nakereka sana. mtandao wnyw unaojitokeza ni CAMOLIST.COM
jamani kwa anaefahamu link ya ku download software ya CoolNovo uswebproxy kwa kifupi ukishadownload unaweza tumia internet bure kama kuna masahihisho mnakaribishwa cha muhimu nipate iyo kitu...
ninatumia hiyo simu (BLACKBERRY STORM 9530) jana (11 april 2012) nilijiunga na data plan ya mwezi wakaniunganisha na kunitumia process za kuregista ili nitumie.. that niende MENU-OPTION-ADVANCED...
Nimeinstall application inaitwa signsis kwenye simu, kuna sehemu inahitaji kujaza/attach key, cert na sis nikitaka ku sign application ya helloox sa na nimejaribu kwa njia ya PC kwa kutumia...
Wakuu, kuna madai niliyoelezwa na dereva tax mmoja kuwa, et ukiwa unaendesha gari spidi zaidi ya inayotakiwa mahali fulani (mfano 30km/hr) na ghafla ukawaona Askari Usalama barabarani (Traffic)...
Blackberry torch iko used lakini good condition kwa 500,000tsh/=
Ps3 slim!! nayo ni new, ina cd zake 3 original au 10 ya ku install ndani ya ps.... only 650,000tsh/=
Ni PM ama nipigie at...
Wakuu nimetafuta proxy mpaka basi maana zile 2lizopata kwa wadau nyingi zimeshaleta dosari za limitations na nyingine zimefungwa kabisa. Nawaombeni kama mna proxy nyingine mtumwagie hapa Jamvini.
wakuu tokea jana kila nikijaribu kubrowse kwa kutumia ile neti yetu ya bure kutoka voda ,ina nitolea mbavuni au ndo washatupiga pini !
Maana you tube video hazichezi hata page ya jamii forum...
Wadau wa jamvi hili leo nimekuja ili tushare knowledge zetu kuhusiana na web hosting. Katika mada hii ningependa tuongelee zaidi kuhusu tools and equipment zinazohitajika inorder to become a web...
As usual mtazamaji is not the greatest tech guru in town but likes to share some tips/tricks and knowleddge about ICT.....
Badaa ya mkwara wa kuanza kwa kimombo nirejee kutumia lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.