Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nipo huku mkoani Nilinunua lnb na decoder mwanzo viliungua na radi ila katika Channel ya TBC radio zipo mbili tu tbc fm na taifa clouds haipo je njia gani nitumie kuiadd hii clouds?
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Jamani naomba kwa anayemjua au anayejua mtaalamu wa hizi device za touch screen nina ki Ideos ila jamaa alikimwagia maji eti screen ilichafuka sasa kuna sehemu ya screen hairespond (option batani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mambo vp wadau samahan jaman kuna hii kitu waiita javascript yaaani kila wakati mnapoongelea mi huwa mnaniacha nyuma sana wakuu naombeni japo kwa leo mnieleweshe samani lakini kwa usumbufu lakini...
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Jamani e,wataalamu wa kuchakachua free internet mpoo??...jamani nina laini yangu ya airtel sijawahi kuifanya chochote ila cha kushangaza toka mwezi wa kwanza internet yake ni bureee kabisa na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nahitaji kuweka hard disk mpya kwenye laptop Dell Latitude D600, natumia hii machine kwa matumizi madogo tu lakini speed ni muhimu hasa kwa games za watoto nk. Pia nataka kuongeza memory yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samsung Electronics Co. (005930), Asia’s largest electronics maker, probably overtook Nokia Oyj (NOK1V) as the top handset seller for the first time, helped by the popularity of the Galaxy...
1 Reactions
0 Replies
638 Views
natumia camera aina ya benq, memory card ya 8gb. Nikiitumia inanijibu card error nifanyeje wataalamu? Nikiiformat window haikamilishi, nkiiangalia kwenye kompyuta inaonesha iko full wakati haina...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Dell Latitude D620 for sell.↲↲D620 in mint condition. 2GB DDR2 Ram 1.8 Ghz Dual Core Intel processor 120 GB HD DUAL WiFi Card Price 320,000/= Intrested call me at 0712177420
0 Reactions
6 Replies
1K Views
samahani wakubwa naomba nipate japo ujuzi na utaalamu wanaotumia hawa watu wanaoibia benki mbalimbali hapa nchini wanatumia njia gani maana naona hata benki zipo kimya zinaogopa hao watu,
0 Reactions
9 Replies
8K Views
If you wish to have a professional shared hosting quality in a free hosting package, come and host with 000webhost.com and experience the best service you can get absolutely free. CREATE AN...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nataka kufanya picture itembee kama akina paka mweusi mtazamaji nk ebu tazama avatar ya huyu paka mweusi https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/233633-uchokozi.html
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi wa namna ya kuconfigure huduma ya push to talk kwenye simu ya nokia, au confuguration settings .endapo kama huduma hii inapatikana hapa tanzania.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu msaada ya programa iliyotajwa hapo juu.Naombeni sana msaada.Kwa anayejua anitumie link
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari zenu wanaJF, ninatumia nokia 5235. Katika kujaribu kwangu kupata baadhi ya application ambazo ninangeweza kuzitumia kwenye simu yangu na ni fullversion(cracked applications) naona kwenye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanini kwenye simu nyingi za kichina kunakua na web browser ila ukijaribu ku-connect internet inagoma!? Kuna mwenye settings za internet kwenye simu za kichina!?
0 Reactions
2 Replies
973 Views
tafadhari husika na kichwa cha habari hapo juu.
0 Reactions
3 Replies
853 Views
jamani naamini teknolojia inakua siku hadi siku...........Mi nataka kujua kama kunauwezekano wa kutumia computer yangu kuwa narusha hela kwenye m-pesa, air tel mone na tigo pesa. kuliko kuendelea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii album mpya ya UTAMU WA YESU nimeiingiza katika laptop ili niweze kuicopy lakini haionekani kabisa wakati ninayo DVD room.nimemuuliza na mwenzangu akasema hivyo.nafikiri wamefanya hivyo ili...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
msaada jaman juu ya keyboard, nna computer motherboard yake haina tundu za ps2 inamana uta2mia usb pekeake. Shida ilopo ukiwa unawasha computer keyboard inafail n u cant access to bios people what...
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Mada hapo juu au yeyote ifananayo ila isiwe na speed chini ya 600mhz na 256 ram na gps @ office doc suport yaan pdf,word axcel etc
0 Reactions
2 Replies
748 Views
Back
Top Bottom