Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habali wadau,nilikua nikipitia habari za mtandaoni na ghafla website ya dailynews ikaniambia i have to wait too many request.......shoooosh kwa website serious kama hiyo sikutegemea kitu kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ndugu. just last week i purchased this voda zte modem. at everytime am installn it and try to open it by clickn that desktop icon, the stupid thng does nt open. i called the col centre like 9...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu ni software ipi ya bure inayoweza kunisaidia kuconvert video zenye format au extension ya H264 kwenda kwenye playable formats kama mp4 n.k.
0 Reactions
0 Replies
880 Views
WAkuu HII internet ya zantel inapatikana kwa speed ya unlimited. though shared speed lakini most of the time kuna zile tips and tricks zitazokufanya u get most out of the box. kwa mfano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua kama inawezekana kublok facebook msgs zisiingie kwenye yahoo mail, coz inakuwa kero zinavyoingia mara mbili mbili(kwenye yahoo mail na kwenye facebook).
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani nisaidie napata shida sikuhizi siwezi ku-download wala ku-play kitu kwenye internet napata message ya ku-upgrade, nisaidie ya bure kama niliyokuwa nayo zamani ambayo sasa haifanyi kazi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habarini za weekend natumai mu wazima.Niko hapa kuomba msaada wa jinsi ya kutumia gps kwenye hii simu yangu.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Haya tena jaman unataka maujanja?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Leo nimejarbu hii ki2..nilikua na voucher ya tgo ya sh 500. Nkaingiza ile voucher kwa ku2mia cm mbil at da xame time then nka pga k ktk cm zote..nkafanikiwa kupata jero huku na huku..real try it!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
guys this time nimepata proxy inayosupport facebook chat ......Enjoy it 99.158.160.201 afu port 80. naomba reply kama imekubali, ikigoma atfirst unmark hiyo sehemu ya remove script then nenda...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Apple released the developer edition of their latest creation, which is MAC OS X Lion Mountain and it has many more features coming soon, but what if your one of the people like me who don’t...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nina simu Nokia N93.. baada ya kuiflash sasa haisuppot aplication yoyote.. nikidownload inacorrupt au inashndwa kuinstall.. MSAADA
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wana jf, kuna jamaa yangu amepangiwa kikazi singida wilayani Iramba. toka aende huko hajawahi kuangalia tv. swali ni kwamba je ni aina gani ya king'amuzi anachowezaa kutumia huko? au ni...
0 Reactions
1 Replies
903 Views
Wataalamu naomba msaada kwa hiki suala kwani natumia cheka net ya siku na napata edge, lakini ikiisha na ikawa free charge basi inachange na kuwa 3G. Ni sawa au kuna setting inabidi nifanye?
0 Reactions
1 Replies
880 Views
I have a lock code on my phone Nokia N8 but for some reason when turning it on the other day it doesn't accept my code anymore. It comes up with "Code Error". I am definitely putting it in...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna jamaa yangu anatumia laptop aina ya sony, ina tatizo la baadhi ya key pad zinagoma ku type na mara nyingine ukibonyeza herufi M ina ina type herufi nyingie tofauti. Wataalamu wa mambo ni...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
wana jf naombeni munisaidie appsza samsung B7320 zinazofanana na whatsapp yaani za free na nitazipataje?
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Nokia has filed for a patent of the world’s first vibrating tattoo. Taking haptic feedback — the technology behind vibrations when you touch your phone — to a new level, the company is embedding...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Wataalam naombeni msaada kama kuna mtu anayo link ya hiyo software hapo juu naomba anisaidie ni kwa ajili ya kuitumia kurecover deleted file kwenye hard drive pamoja na kwenye memory card...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamaa naona wameshemsha! Ushindani ni mkubwa sana sana. Nawashauri ndugu zangu wenye hiyo miche wahamie android au iphone, tunawakaribisha! BBC News - Blackberry-maker RIM reports $125m loss BBC -...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom