Wakuu Wanachama wenzangu wahusika habari za Asubuhi. Nina tatizo kwenye IPAD2 ninataka ku download Real Player na Adobe flasher player nimejaribu inakataa Ku download je kuna mtu mjuzi wa hiyo...
Nimeinstall sqlmap kwenye ubuntu kutumia command yani "sudo apt-get install sqlmap".....inaonyesha imeinstall lakini siioni kwenye installed programs ili niweze kuitumia...mwenye uzoefu nayo...
Habari nahitaji kujifunza hii adobe cs3 ila sina zana zozote za kunisaidia ili niweze kuimasta vizuri.
Msaada ninaohitaji kama una link itakayo nisaidia naomba uniwekee hapa ili nijifunze vizuri...
simu yangu aina ya nokia 6300 express music ilidondoka kwenye maji kitambo ikazima then sikuipeleka kwa fundi nina kama miezi 3 hivi.
Leo kuna fundi nimempelekea Kariakoo kaniambia haiwezi kupona...
Ughhhh! If your PC has ever been infected - or worse, if it's infected right now - you're probably groaning. Yes it's a pain, but the good news is: you can remove viruses yourself, for free...
Nimefungu account ya Skype kupitia Computer nikitaka ku sign in kupitia simu inagoma, simu yangu Nokia C5.Ila kwa kutumia Pc inakubali.Na vp ambaye ashaitumia credit unawekaje? Msaada jamani.
The term best PC is a very common term that many people use to think about when they decide to purchase a new PC for them, however there is no such a term practically because the best PC depends...
The Registry is a centralized data structure that Windows programs, including the Windows itself, use to store configuration data.
Every software installs specific registry files into the registry...
Kuna mambo kadhaa ambayo yanaathiri download speed yako au more generally your internet speed.
leo hapa nimeamua ku share some tips and tricks ambazo zinaweza kukupunguzia maumivu...
Nimefungua account ya Skype kupitia Computer nikitaka ku sign in kupitia simu inagoma, simu yangu Nokia C5.Ila kwa kutumia Pc inakubali.Na vp ambaye ashaitumia credit unawekaje? na matumizi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.