Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu natumia service ya BB ya Tigo, lakini cha kushangaza mbali na kufanya monthly subscription ya Blackberry ninapo tumia let say JF au Google huwa wanakata salio langu, naombeni msaada wenu juu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Yeyote mwenye Adobe PDF ile wanaotumia ku editia vitabu na magazeti jamani tujulishane, kwani nimehangaika sana kuitafuta
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jaman anaye fahamu application inayo itwa beaTED ambayo ni drum mashine ya symbian s60 3rd edition. Inatumika tengeneza beats yani iko kama fl studio na ina 16 squence, ma guiter, piano, kicks...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau jamvini, kuna mtu kampigia waifu simu na kumpiga bit at ni mchumba wangu. Alipomuignore, akamtumia message akidai nipo naye na akampa namba yangu anipigie au aniombe nimpeleka, uzuri waifu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Weixin it is a clone of whatsapp! nakumbuka watu wanasema whatever chinese copy basi product itakuwa low quality ! but not on this one!.... kwale watu wa BBM, WhatsApp, LINE or Talkbox etcl...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waunguana, mwenzenu mie ndo nishakwama hivyo. ESET Smart Security5 nimekuwa nikiitumia kwa muda sasa ila kuanzia juzi ilikataa ku update kisha ikaandika Maximum Security is not ensured na muda huo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
You tube inaonesha chenga.
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Waungwana nisaidieni jamani!kwasabab daily sipati jibu!karim lilanga@facebook
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu napenda kufahamu kama hzo timebased bundle ni unlimited au?? Na speed yake ikoje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natumai wazima ndugu zangu naomba kusaidiwa kutatua ili tatzo kwenye hii PC yangu ukiiwasha inaunguruma tu na screen inakuwa haidisply chochote zaidi ya mwanga tu.aina ya PC ni ASUS
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Wakuu nimekaa nakuamua kuunda tv ambayo itakuwa na deck ya kuplay vcd/dvd/mp3,flash,memory card,am na fm radio, receiver/king'amuzi cha fta,bluetoth, na itakuwa na sowbufer . Vitu vyote hivyo...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Ningependa kujua kama kuna mtu amejaribu kulifanyia kazi hili wazo - haswa nyumba ya kuishi na sio kibiashara (kama duka)
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani, naombeni msaada kama kuna mtu anaweza kunitumia lile game la draft la kumvua nguo mwanamke (kuna wadada wanavua nguo baada ya kuscore na ukiwa scored wanavaa tena) au kama naweza nikapata...
0 Reactions
4 Replies
336 Views
Wajameni naomba msaada m2 mwenye panda cloud ant-virus software anisaidie, au hata nyingine yoyote. Ahsanteni!
0 Reactions
0 Replies
684 Views
This is an undesirable program. This file has been identified as a program that is undesirable to have running on your computer. This consists of programs that are misleading, harmful, or...
0 Reactions
1 Replies
10K Views
HI, Members any one with interest, contact me through PM, will send you all email address and their contact phone numbers to make sure that all group members have joined and pay you instantly...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Google Set To Listen To Background Noise On Phone Calls*|*Front Porch Politics Mom: Will you buy our child some popcorn? Dad at the store: Sure, no problem. Buggy Google listening device...
0 Reactions
4 Replies
828 Views
Wajameni, Naomba msaada wenu wakuu. Kuna mtu anaweza kupendekeza software inayoweza management ya online support? Idea ni kuwa na website ambapo wateja watapewa majibu ya maswali yao online...
0 Reactions
2 Replies
805 Views
A group of German scientists have hailed a cheeky Ugandan chimpanzee called Natasha as a “genius” who is “intellectually closer to humans than most apes.”...
0 Reactions
1 Replies
620 Views
Hi wana JF? Je kuna njia ya kuweza kujua hii blog imefunguliwa wapi mji,nchi etc? udakuspecial.blogspot.com Cheers!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom