Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jana rafiki yangu kaja na usb flush disk, baada ya ku insert ktk laptop yangu kirus cha ajabu kika infect laptop. Ikawa kila uki insert flush nyingine yoyote mafolder yaliyopo ktk hiyo flush...
0 Reactions
1 Replies
799 Views
Waungwana ninatumia simu ya Blackberry lakini tokea nimeanza kuitumia sipati message zakutoka kwenye mtandao (natumia tigo) yaani nikinunua muda wa maongezi kwa tigo pesa ama hata nikijiunga na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba link ambayo nitaweza ku- download browser za Nokia E61i bure. Natumia za Opera Mini lakini hazina ufanisi.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jamani ndugu zangu nina tatizo na modem yangu ya zantel kila baada ya kama dakika kumi kila ninapoitumia inajidisconnect automatically nimejaribu kutumia afd ili ifanye auto connect sijafanikiwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wanajamii naombeni msaada wenu katika hili tatizo langu. Tatizo ni kwamba nikiconnect modem yangu ya vodafone k3571z during installation ina install mpaka karibu kufika mwisho na kuleta error...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
For windows users if you want to restart you computer quickly without goin all the steps of loggin off,,etc just use this command on the command prompt. shutdown -r -t 01
1 Reactions
0 Replies
538 Views
Wakuu heshima mbere Naombeni na mwenye nayo faili la joiku nataka kuweka kwa blakberry yangu 9000. Wakuu nataka nipate wifi katika computers *ngu kwa kutumia sim
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Inaleta msg nying nying mojawapo inasema WE DID NOT FIND ENOUGH EVIDENCE TO IDENTIFY THE FILE AS MALWARE msaada plz kuhusu hilo nawasilisha.
0 Reactions
3 Replies
952 Views
Natafuta battery ya Blackberry Storm II mwenye kujua wapi zinapatikana anijulishe. Ahsante
1 Reactions
3 Replies
905 Views
Video za mp4 haziplay kwenye simu yangu ya Nokia 3110c je kuna njia yoyote nnayoweza kuzifanya ziplay.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nina Dell yangu D620, RAM 1gb processor 2ghz ina tatizo unapoiwasha tu inaleta blue screen inaandika hivi: *hardware malfunction* NMI: Parity check/memory parity error ***the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wanajamvi naombeni mnifundishe namna ya kutumia proxy ili nipate free internet. Nimesoma post nyingi zinazohusiana na proxy nikifika katikati naambiwa trick hii haifanyi kazi. Jamani naombeni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf. Naomba msaada wa kubadilisha lugha kwenye komputa, nimeachiwa komputa na mkorea inasoma kikorea kila kitu nilikuwa nafanya naye kazi ofisini moja sasa yeye muda wake wakukaa...
0 Reactions
5 Replies
913 Views
Umofia kwenu ma igwe na ma ogah! Aisee bb bwana usipopitia upya post unaweza ukajikuta umepost vitu vya ajabu,kwa mfano:- Ukiandika HR yenyewe inaandika HOUR Ukiandika Mo yenyewe inaandika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu. Nahitaji iphone 3gs . Iwe Used yenye hali nzuri ama mpya. Mwenye nayo au kufahamu inakopatikana pamoja na bei,msaada tafadhari !
0 Reactions
2 Replies
842 Views
naomba msaada je nawezaje kutambua simu aina ya nokia original na feki.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
jamani me natumia laptop aina ya acer sasa nikiwa online mfano nikiingia facebook nikiandika comment au nikiwa nachat nikibonyeza kitufe cha inter badala ststus nayoiandika ionekane imekaa hapo...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Hivi jamani kwa nini kusiwe na king'amuzi standard kinachoshika local channels zote , hata kama mnahamia digitally ndio mnaendesha mambo kibabe hivyo....kwa hiyo kila television iwe na king'amuzi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani nisaidieni... Ila si mpya,ni mtumba kaniletea rafiki yangu kama namna ya kupunguza deni ninalomdai... Je,itapona endapo ikipelekwa kwa fundi? Ama nifanyeje? Kama ikibidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wadau wa jamvi hili? naomba mwenye kujua namna ya kupata keys za software hii anisaidie maana ninaihitaji kweli!! yenyewe ipo mtandaoni lakini sina keys zake!
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Back
Top Bottom