Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Imekuwa hacked na hadi naandika still ipo hoi! Fungua www.eac.int Utaona signature ya jamaa walohack... ..We Are.. infEkt - Adminp4nic - eCORE Againts governments corruptions ...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tangu miaka ya 90 mwishoni RTD ambayo ndo TBC hivi leo walizima matangazo kupitia short-waves ambayo yalikuwa yanafika sehemu kubwa sana suala lilikuwa kunyosha aerial tu. Sasa hatupati matangazo...
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Wakuu naomba kuambiwa ni jinsi gani naweza kupata free and full functional avast antivirus for my nokia 5800 phone.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa yeyote anayejua namana ya kutuma flash msg kwa pamoja na kuweka password kwenye inbox sms hasa kwenye cm za nokia na blackbery anieleweshe tafadhali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikua nauliza kama ni posibo kudownload setup ya program yoyote ya pc kwa sim na kuisav kwenye memorycard alafu baadae ukaistall kwenye pc.
0 Reactions
3 Replies
751 Views
Je inawezekana kutumia dvd player yenye uwezo wa kuplay MPEG4 kama decoder/reciever ya satellite dish? Nauliza hv kwa sbb nyuma ya hz dvd player kuna sehm ya digital coaxial cable connection. Kwa...
0 Reactions
2 Replies
774 Views
habari zenu wadau, naomba kwa yeyoye anayefahamu jinsi ya kutuma flash message anisaidie
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Umeme ulikatika ikazima yenyewe nilipokuja kuwasha icon na maandishi vimejikuza kupita kiasi natumia window xp msaada wenu plz je nifanyaje font na icon ziwe saiz ya kawaida kama mwanzo?
0 Reactions
3 Replies
988 Views
Ninaomba msaada tafathali wa kutengeneza table of content automatically, nimejaribu nimeshindwa. kuna zile pages za kwanza kama acknowledgment, declaration, list of abbreviation, list of table na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
holla wana wa JF najua kwamba unaweza ku2mia simu kama modem sasa swal langu ni iv ip faida ya ku2mia modem instead of 4n na ni vi2 gan utashndwa kufanya uk2mia net kwenye pc kwa ku2mia cmu mpaka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sasa unaweza kudownloads folder pamoja na webite nzima then unaisoma bila uwepo wa internet Kwa wale wenye ubuntu ni kama ifuatavyo. Open Terminal then Type wget- rpkd url then you are...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Msaada jamani wale tutumiao internet ya chee kupitia proxies,je inawezekana kuangalia live football kupitia hizo proxies?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
NIMEONA watu wengi wanasumbuliwa na hii modem ya voda ya k3570z au k3571z . kuitumia modem hii ni kazi rahisi sana. utahitaji mafaili mawili kutoka internet: kwanza download: Hotfile.com...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
wana naombeni mwenye key ya RepliGo Reader (ver. 2.0.1.1) ..hii ni pdf reader ya blackberry...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Takribani kila siku watu wengi hasa wanaodowea vya bure kwa kutumia proxy wamekuwa wakipata tatizo kudownload torrents via u toorrent na kulazimika kudownload vitu vya kawaida tu well kaeni mkao...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadaau naomben msaada wa izo keys. HELP WILL BE APPRECIATED
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Wana jf nini tofauti kati ya symbian,android,smartphone,iphone na window phone..
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Wakubwa nilikua naomba kama kuna mtu ana link ya kudownload antivirus ambazo ni effective kwenye phone aipost apa.my 4n z nokia 2700 clasic. Natanguliza shukran
0 Reactions
10 Replies
2K Views
I'm looking for STRICTLY TANZANIAN WEBSITES that offers affiliate programs. If you have (or you know) an affiliate program in your website(one owned by a tanzanian or someone living in...
0 Reactions
3 Replies
963 Views
Back
Top Bottom