Wadau, jana niliangalia kipindi kwenye tbc ambacho walionyesha mashine yenye uwezo wa kuita samaki baharini/ziwani/bwawani/mtoni through high frequency sounds. Mvumbuzi ni mwalimu wa Veta, Tanga...
Wana jamvi tafadhali naomba mnipokee na shida yangu hii, nina ka office kangu na computer mbili, nataka kuwa nina share mafaili na siko na mtandao, je nawezaje kuziunganisha pc hizi 2 pamoja...
baada ya watu kibao kushindwa kudownload torrent kupitia clients eg bitcommet na zinginezo, nikaona si vibaya kuwapa ujuzi niliopata katika pitapita zangu kuhusu jinsi ya kudownload torrent na...
Nimeletewa simu (nokia 6303) na jamaa yangu toka UK iko locked kwenye mtandao wa t-mobile nimejaribu mafundi kadha hapa Dar wanambia hawajui code yake. Msaada jamani wapi naweza kuifungua.
Nimeona watu wengi sana wanauziwa fladh feki especially zile za hp feki!,za kichina ambazo ni knockoffs! sasa utajuaje kama sio Original na ipi ni original? Endelea kusoma apo mimi binafsi...
nina memory card nimesave vitu muhimu vingi sana imejilock na password sina kwani nilinunua kwa mtu ikiwa na password na mi sizijui kwa kabla ilikuwa nikiweka kwenye simu ilikuwa inafanya kazi...
Nipo mbeya natumia ungo aina ya gulf star na decoder ni mediacom kuna fundi alikuwa ananirekebishia channel cha ajabu zimekubali channel za ipp tu itv eatv na capital pamoja na mozambique kwa...
Wakuu naomba msaada wa kuactivate Bluetooth kwenye laptop, ni dell inspiron n5040. Icon ya bluetooth inaonekana lakini ila kwenye devices bluetooth haionekani na siwez kutuma wala kupokea file...
Npo hapa mlimani chuo kwenye atm za nmb nilikuwa nikitoa pesa kwa pesa fasta cha kushangaza ni umeme kukatika wakati uduma inamalizikia na peza zilikuwa bado asjatoka msahada wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.