Iko wazi Apple Inc wamiliki wa Apple, iPad, iPod, iMac, Macintosh, iTunes etc wana bifu la kibiashara na Android wamiliki wa Ideos, Android Tablets, Android smart phones etc ambalo ni kampuni...
Habari wanaJF? Jamani naombeni msaada wenu ktk simu yangu 'nokia 3110c' kila nikiadd new account kwenye personal configuration inaandika 'memory full. Cannot add new account'. Yaani hata kufungua...
Wengi wetu neno Ports katika mambo ya kompyuta linaweza lisiwe geni. Au hata kama ni geni basi ni kitu amabcho tunakitumia bila kugundua. Leo tujaribu kucheki ABCc za computer/comunication...
wadau mi ni mtumiaji wa Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The galaxy's most resilient BitTorrent site lakini tangu majuzi naona wanashida na magnetic links zao-nimejaribu...
Natumia avast lakin tangu wiki mbili ilikuwa inagoma kuuptudate na kuuninstal kwa sasa imeexpire the same way inagoma kuuninstall nimejaribu kutumia Revo uninstaller bado haitaki inarudisha msg...
Nilikua naomba kujua km kuna mtu anapata 3g kwa mtandao wa airtel ktk iphone4. Nimekwenda airtel several times wanafanya settings zao wananiambia niondoke baada ya nusu saa itakua tayari lkn bado...
Wamkumbuka huyu Bibie/mama kutokea mitaa ya Sweden aliyekuwa akitamba sana miaka ya 80 kama mwimbaji na Mfokafokaji (Rapper) huku akivaa Bling blingkubwa ya $$? Oyaaa, bado yupo ingawa pana wakati...
hey nokia lovers kama mnavojua siku hizi developers wengi hawatengenezi games za s60v3 lakini still asian black market ipo game zinaendelea kutengenezwa.
Ntapost games hapa na kuangalia kama...
Ninapocopy na kupaste data toka kwenye cd napata ujumbe unaosema
error copying file or folder
cannot create or replace AUDIO_TS: cannot find the specified path. Make sure you specify the...
Today is the day where first computer virus inverted;
. Of course, in the early 1970s they weren't called computer viruses, but that doesn't make Bob Thomas's handiwork any less special. Creeper...
Leo sayari hizo mbili zitakutana na kuwa karibu likiwa ni tukio la kihistoria......
Tukumbuke kusali na kusoma maandiko matakatifu kwa bidiii na kutafakari kwa kina neno baada ya neno...
airtel yazindua huduma ya intanet ya 3.75G,ambayo itakuwa na kasi ya ajabu,tunaomba iwe ni kwa inchi nzima,sio iwe kwa dar tu!na iwe ni 3.75G kweli kwa speed sio kwa jina,kwani kuna mitandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.