modem yangu ya vodacom iv karibun imekua haisom gafla nme jaribu
kuihamisha kutoka laptop moja kwenda nyingne lakin hamna kitu..
Msaada wenu wataalamu nifanyeje il iwez kufanya kaz
ahsanten sana
Tembelea link hii: http://www.ehow.com/m/list_7169020_computer-programming-courses-tanzania.html
Sasa, baada ya kutembelea, vyuo vingine kama UDSM, UCC, MIST, UDOM, etc mpo wapi!?
Let's be...
Habari wanaJF simu yangu N97 ukiwasha inakata mawasiliano kati ya screen na keypad ambapo screen haidisplay signal yeyote wakati keypad inawaka...nadhan nitatzo la mkanda sijui ntaupataje na...
Jamani basi jekundu limeamua kweli na sidhani kama litakwama kwani hivi sasa imeanzisha kitu cha 3·75G so sweet lets enjoy high speed internet
souce clouds
wajuzi wa it,browsers zote kwenye laptop yangu yaani mozilla,ie,opera na google chrome hazifungui kabisa websites muhimu kama google.com,youtube, gmail etc lakini inafungua nyingine kama...
Wanajamvi natafuta fundi mzuri wa isuzu.
Kuna isuzu bighorn inazingua sana.
Tatizo lake ukiiwasha ikiwa silance engine inavibrate kama ina miss.
Kama kuna mtu ana contact za fundi mzuri au...
Jamani hizo proxy nnawekaje mbona mimi laini yangu haina ela niki put kwenye mozilla modem yangu ina sema connecting tu mda mrefu ila nikiweka money niki connect ina connect fasta nifanyaje iko...
Naombeni msaada wenu wataalamu wa simu wa jinsi ya kuondoa virus kwenye Nokia 2730 classic. Nimejaribu kutumia hard reset code ambayo ni *#7370# lakini kwa bahati mbaya hii code haifanyi kazi...
Nina digital camera yangu aina tajwa hapo juu.Juzi nilitumia nikapiga kama picha 40 hivi baada ya hapo sijui ni wapi niliigusa mpaka nikashindwa kuona picha zote nilizokuwa nimezipiga na ikawa...
I just completed my first website. was wondering if you all could take a look at it and give me ur feedback... would really appreciate your honest truth... thanks in advance!!
Plan B –...
Hivi hii simu aina ya Nokia E51 inadai kua ina uwezo wa kua kama Modem hivi unaunganisha je? Pia na WLAN na WI-FI unazitumia je! Ningeshukuru kwa msaada wenu
taarifa nilizo nazo nimesikia wametoa huduma mpya ya unlimited ya nduki na wametenga vifurushi kwa aina kama nne na ni kwa mwezi na ina kasi nzuri, my take ni marketing tactics au kweli itakuwa...
Nimejikuta nimevamiwa na kirusi kinachojiita RECYCLER ambacho huambatana na folder jingine linanoji-create kwa jina la "System Volume Information" Naombeni njia rahisi ya kuiondoa hii kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.