Wadau, me natumia simu ya Nokia 2730 classic, napenda sana game ya REAL FOOTBALL, mwaka 201
0 nilidownload hii game version ya 2009 ikakubali na nikawa nacheza kama kawaida, mwaka 2010 huo huo...
Waungwa naombeni njia ya kutatua hili tatizo kwenye computer yangu...inaonyesha black screen na ujumbe wa THIS COPY OF WINDOW IS NOT GUNUINE...
Nitashukuru saana
WADAU, kwa yoyote yule anaejua link ambayo naweza pata mozilla firefox kuanzia version 10 na kuendelea naomba anisaidie, nimejaribu ku'google nikapata but ninapo'download zina'fail... msaada plz
guys plz help me in choosing 1 of da 2 course either Oracle Database Administration course and Linux system or Oracle Database Administration course and Windows :thinking:
Wadau Laptop yangu HP G 5000, RAM 1GB, HDD 250. Ilikuja na VISTA, nikaweka XP kisha WIN7
Toka juzi kila nikiwasha inakwenda hadi kwenye logo ya Win7 kisha kwa sekunde inatokea blue screen na...
Kwa wale watalamu wa mbambo ya websites mnaweza kunipa maujanja ni ipi software nzuri kwa kucreat website kwa sababu kuna nyingi mno kama joomla, html, web studio, wix, dreamweaver, frontpage ...
Hawa Tigo wanashangaza sana,tangu wiki iliyopita wafanye marekebisho ya mtandao wao kilichobaki kwa wengine ni uozo mtupu!Kwa yale maeneo kuanzia Ubungo kurudi Kimara,Tigo inashika 3G signals...
Wadau, nini maana ya HTTP na HTTPS ambayo yanajiandika kwenye address bar pindi unapofungua website,maana kila nnapofungua account yangu ya facebook na gmail huwa inaandika HTTPS lkn nnapofungua...
Jamani naombeni msaada jinsi ya kuweza ku access internet kwenye blackberry kama wenye mobile phones za kawaida, e.g bundles za mb 50(Voda) au mb400(Airtel) for Tsh 2,000 and 2,500 respectively...
Habarin za leo wana jamv! Naomben msaada juu ya hii sm yangu ya NokiaN72, inapokea message mfululizo zinazosomeka "salio lako halitoshi", ukiziacha zinafika hadi 1000, na ukiweka vocha inaisha...
ninachotambua tanzania ni nchi yenye madini aina nyingi,hasa dhahabu.inawezekana yanasamani sana ndio maana yana bei kubwa. Swali hivi tofauti na kutengenezea vito kuna nini kingine...
Nimejipini kwenye simu za windows HTC 7. Tatizo ninalopata ni kuwa , nikitaka kutumia Mpesa option zinakuja ila zinaishia ok. Ukiclick ok MPESA option inaondoka. I mean haiendi hatua ya mbele...
Nategemea kujifunza linux hivi karibuni,kufanya installation na kujifunza command line...mwenye uzoefu naomba anielekeze yafuatayo:
Ni distribution gani na version gani rahisi kuanza nayo hasa...
Daily nashinda net kwa ajili ya kusoma forums mbalimbali zitakazoniwezesha kuccm (chaka chua modem) yangu huawei 153u-2 lakini cpati kabisa.Vp wadau kuna aliyefanikiwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.