This is a 250GB ps3 with a wireless dual-shock3 controller, It comes with 5 to 10 games of your choice on the list provided below for a price of $400(690,000Tsh) only.
Need For Speed Hot...
Laptop overheating?
Laptop Overheating Issues:
Does your laptop shutdown at random? Does it slow down during heavy operations? Do you need to wait 10 min. before you can start it up...
Habari wana jf,me nimemaliza form six PCM comb,naombeni ushauri,nichukue ipi kati ya hizi COMPUTER SCIENCE,COMPUTER ENGINEERING,il nitoke kibongobongo..
ushauri mwingine wowote kuhusiana na...
Ni kama wiki 3 zimepita tangu nilponunua hii sim tecno T20 (MPYA) ndipo imeanza kuganda. unapoiwasha neno tecno linatokea kama kawaida kisha linafuatia picha mwisho neno tecno linatokea tena hapo...
nipo morogoro sipati star TV kwa mda wa miezi miwili sasa,nashindwa kuelewa nitatizo langu tu? au nitatizo la wanamorogoro wote??nisaidieni niweze ungana na uzinduzi wa kampeni za wana CDM huko ARUSHA
Wana JF habari za asubuhi,
Tafadhali naomba msaada, hivi inawezekana ku install free TV chanels zingine kama ITV and the like kwenye decoder ya DSTV? mimik huwa nalipia DSTV Compact plus lakini...
mba msaada wa kuunganisha modem yangu K 3570z ya vodafone niweze kutumia zain kama ninavyofanya katika window xp 3. Nitumie njia gani au namna gani. kwani nimesikia kwamba internet huko ubuntu ni...
Yani haionekani hata nikichomeka ktk pc! Ila mwanzo ilionekana network ikawa tatizo,nikaichomoa bila kufata utaratibu baada ya kuwa imekaa muda bila kuonyesha network! Msaada pls!
Habari zenu wanaJF!
Mimi nina laptop aina ya dell aina ya insprion d5010, ina 320 gb hdd, 3gb ram na ni 64 bits, nimejaribu kudownload webcam ya hiyo dell nimeshindwa. Naomba mnisaidie niweze...
Naomba msaada mwenye kujua application nitakayoweza ku -install kwenye android yangu ili kupata internet connection kupitia CDMA moderm. Kwenye PC tuna Mobile partner je kwenye android ni...
This company has limited lines which few cutomers uses yet they don't attend to faults occurs, you haven't exeperienced loss of customers yet, so as you can run for them to serve?
In Kunduchi...
Naomba msaada mwenye kujua application nitakayoweza ku -install kwenye android yangu ili kupata internet connection kupitia CDMA moderm. Kwenye PC tuna Mobile partner je kwenye android ni...
Wana jamvi naomba msaada wenu, nahitaji kutumia modem yangu ya tigo (zile za zamani) au voda zte k3571 katika kuunganisha internet ili niitumie kwenye linux, nifanyeje, nisaidieni,
Naombeni msaada Simu yangu ni NOKIA C3 na itatumia OVI NOKia SUITe ili kuitumia Kama Modem lakini kila nikiconnect kwenye NOKia SUITE application ili niitumie kama Modem Inakaataa msaada jamani!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.