Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Tangu nimetumia free internet simu yangu haifungui net kwenye browser yake wala kudownload hata kupitia opera wala uc browser naomba msaada wenu wakubwa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna web cjui kama imeshawahi kuwa posted hapa lakini kama tayari basi kwa wale waliopitwa kama mimi link hii hapa, Serials & keys - unlocks the world. asilimia kubwa ya serial zinafanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafadhalini naomba wandungu mnisaidie
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natumia Nokia E51, kuna application nilizi install kila nikizitoa zinagoma na nyingine hazi respond kabisa., Njia ninayotumia ku uninstall ni menu>> app mng>>remove. Apps zenyewe ni snaptu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda huu nina shida mwenye ujuzi naomba anisaidie,nime upgrade window yangu,sasa kwenye kuwasha cp inaniletea kiujumbe kama hiki This copy of windows must be activated with...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nikidownload video inaplay katika mozilla firefox,kanakwamba nashidwa kuikonvert into any type of video format.Msaada jamani
0 Reactions
3 Replies
786 Views
[*=center]MWENYE KUFAHAMU TATIZO LIKO WAPI ANISAIDIE KUTATUA, FILES ZA EXCEL HAZIFUNGUKI NAPATA MESSAGE INASEMA THERE WAS A PROBLEM SENDING THE COMMAND TO THE PROGRAM Sijui tatizo liko wapi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sioni sehem ya kuchange name kwenye uu mtangao.. Y?? May b cm aisupport au!
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Nimejaribu kuitafuta hiyo habari nikaipata hapa, nikaona sio vibaya kushare na wenzanguManji azindua kampuni mpya ya simu za mkononi | Tesdo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana jf natumaini wote mu wazima wa afya,ninaomba msaada wenu ninacomputer pentium4 dell tower.jana imeanza kuandika disk boot failer replace and press enter.nikiichek kwenye bios set up...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wimbi la wizi wa pesa kupita simu za mikononi linavuma kwa kasi. Mbinu zinabadilika kila uchao. La kustahajabisha ni kuwa wezi wanakwenda level nyingine kabla ya hata makampuni ya simu wala TCRA...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau toka juzi voda ukibakiwa na sh 300 wanakuambia huwezi kupga simu hadi uongeze salio. Hii ipo je ni kwangu tu au kwa wengine toka Dar?
0 Reactions
3 Replies
998 Views
Iv spea zake zinapatikana apa bongo
0 Reactions
3 Replies
847 Views
Habari ya asubuhi wanajF! Naomba msaada katika hili. Nina moderm ya vodafone Mobile Broadband zte. Kila ninapounganisha na internet inakubali lakini kwenye IPv4 na IPv6 connectivity inaniambia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu,nina wiki moja natumia moderm ya voda free kucheza youtube video kwa zile IP adddres zilizotolewa na E2thmiza na wenzake. lakini leo nimejaribu kuuunga kifurushi cha siku moja cha 150MB...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Mazee niaje lakini sasa nimepewa zawadi ya simu SAMSUNG SGH-T739. Sasa nahitaji kui unlock coz ilikuwa ikitumika U. S . A........
0 Reactions
2 Replies
876 Views
250Gb and 80Gb Together go for only 150,000tsh.also intel/celeron(D) processors 2.88GhZ and 3.06GhZ,and DVD Rom/RW are available for sale,get a free copy of windows xp 2009.contact me through...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Jamani sasahivi nimetuma neno Free Intrenet kwenda 15300 ghafula wakanipa 50MB sasa sijui wata ni lamba ni kiweka pesa coz ni sh.45 !!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu wa Jukwaa hili Wasalaam Aleykhum! Kuna ofisi ya Mkulu moja ambaye anapenda Ku-Impliment Electronic Document & Records Management System. Matarajio yake ni: Kuwa na Paper less Office...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Salaam ,Natafuta Transistors 2n 7000 kwa wingi nimetafuta hapa dar nimeshindwa kupata mwenye kujua tafadhari msaada jamani 0763150550
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Back
Top Bottom