Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ndugu wanajamvi wataalam wote kila fani mim nilikuwa na wazo.Tatizo la uchakachuaji mafuta imekuwa fashion sana tanzania.Nazan lingekuwa ni tatizo la kidunia mda mrefu wenzetu wangekuwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ktk kanisa letu tuna vyombo vya muziki, Power mixer wtts 300, speaker 4, moja watts 400 kila moja, keyboard na vingine vidogovidogo. Je, ni solar watts ngapi inaweza kuendesha vyombo kwa muda mrefu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wanajf naomba kwa anaejua anisaidie eti ni kweli kunaving'amuzi vya dstv ambavyo vinafanana na vile vya startimes na vnalipiwa 12000 kwa mwez.nipeni ukweli wa hli jambo kama ni kweli vinapatkana...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
nikiamini kama hapa ndo kisima cha maarifa nimeona nilete tatizo langu natumai nitapata jibu...nina computer yangu cursor inapotea..mwanzo nilidhani ni matatizo ya mouce...nikabadili mouce hali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Mimi nimezaliwa na kukulia kanda ya ziwa (Bukoba) ambapo RADI wakati wa mvua hata kama ni mvua wenyewe ni kidogo radi ni lazima. Nilipokuja Dar es salaam mwaka 1996 sikuwahi kusikia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF leo nimeamua kuwaanika SASATEL wanavyo niibia. Mimi natumia modem ya SASATEL na nanunua kifurushi cha mwezi. Linalonishangaza kila nikinunua wananikatia huduma siku moja kabla ya tarehe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kuna huduma ya kupata sms 100,kwa siku kutoka airtel,baada ya kutuma neno"jiachie'.na wanakata tsh.400.kwenda namba fulani,naombeni mwenye kujua namba hiyo anisaidie.nawasilisha wakuu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hivi ili neno linaloitwa groan baada ya thanks lina maana gani?. usiku mwama wadau
0 Reactions
1 Replies
983 Views
There is many web site provide us to send free emails. Gmail, yahoo and hotmail those websites are very popular. By using these site we can send and receive emails. Here we are going to discuss...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Teknolojia wiki hii BONYEZA HAPA BBC Swahili - Habari - Teknolojia wiki hii AU HAPA http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2011/11/111026_teknolojia_facebook_video.shtml AU HAPA BONYEZA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau naomba mtu mwenye microsoft visual studio / vb 6.0 setup anisaidie yangu imecorrupt
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nini kipo behind the scene ktk huu mchezo wa vocha ktk mitandao yetu hapa Tz??kuna wadau tyr washafanikiwa ku'hack'????
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau google imetoa os mpya ya android na iko ndani ya simu mpya ya samsung galaxy nexus. Japokuwa samsung wamesema wata update samsung galaxy s2 mwanzoni wa mwaka 2012 je kuna mtu ameweza...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Natumia simu aina ya NOKIA 6200 wakuu katika cm hii kuna mahali pa kuifanya kama pcmode lakini nashindwa kutoa michango kupitia mtindo huo.Kwa hiyo naomba kufundishwa matumizi.Sasa natumia upande...
0 Reactions
2 Replies
964 Views
ndugu wadau Laptop yangu iliingia maji ya kutosha tu nikaipeleka kwa fundi anifanyie marekebisho, Kuwaka imewaka lakini kioo kinaonyesha kwa mbali...what are the implication guys
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kuelimishwa jinsi ya kuchakachua safaricom E173 customized firmware permanently
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nisaidieni kutoa avast kwenye laptop,nimeenda control panel kuliko programs sijaiona.Sijajua itakuwa wapi,msaada plse! Nawasilisha!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naombeni msaada jamani.Pc yangu haitaki kucopy kitu chochote.Ukicopy wakati una paste ina stak na mchezo unaishia hapo hapo. JE tatizo ni nini?NI DESKTOP DELL GX 270...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu wa JF ! Am looking to study into AUTOCAD, REVIT and 3ds MAX. Plz tell me any organization who can teach me, or a teacher who can teach ? PLZ PM !
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Back
Top Bottom