Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salute kwenu wakubwa, ninamkanganyiko na hii moderm (zte: ya vodafone) yangu, pindi ninapo ichomeka kwenye laptop yangu inaanza mchakato ikitaka kufunguka inaandika "rolling back" alafu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau kuna njia yoyote ya kurudisha mafail niliyodelete kwenye removable disk(eg memory card)
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau kuna hii kitu inaitwa Sema na Airtel inakuwezesha kutuma sms free kwa mteja wa Airtel aliyejiunga kwenye hiyo service (yes ni 0Tsh/SMS) Kujiunga Kujiunga unatuma sms neno Jiunge unaacha...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu? Mimi ni mmoja wa waathirika wa hizi mvua, na imetokea P2 imelowa upande mmoja. Kuna wanaonambia eti imeshakufa. Jamani hli lina ukweli?
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Lenovo X300 vs. Apple MacBook Air... Fight! By Thomas Ricker As long as Lenovo is drawing a direct comparison between their own X300 and the MacBook Air, we thought we'd go ahead and put...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu kuna madhara gani ya kuzima pc kwa ku-hibernate badala ya ku-shutdown?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nimejaribu kuitafuta window media player kwenye machine haipatikani!sasa kama imefutwa,ntaipataje wakuu!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu nawezaje kuitumia laptop yangu kujipatia kipato pindi nitakapokua mtaani baada ya kumaliza chuo?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WADAU ILE OFA YA USIKU YA NETI MB2OO YA AIRTEL IMEKWISHA AU VP? MANAKE LEO NAONA LINE YANGU MB ZINALIWA TU:shock::A S embarassed:
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je.umeichoka google Tanzania? Je, unataka google international? Ndugu mwanajamii, kama majibu ni ndiyo kwa hayo maswali hapo juu basi fuatana name katika hatua chache zifuatazo; Hatua 1: kuandaa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
huduma inahusiana na kuokoa documents kutoka kwenye hard disc iliyoharibika(physically damage).Anayefahamu zinapotolewa huduma hizi anifahamishe
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau nisaidieni kutoa avast kwenye laptop,nimeenda control panel kuliko programs sijaiona.Sijajua itakuwa wapi,msaada plse! Nawasilisha!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nimeikopi toka kule Twitter kuna watu walikuwa wanaijadili Hii hapa!! Burekingi Nyuzi: Kama unapenda kupiga simu za bure tumia viber, unahitaji 3G enable handset or wifi kwa simu...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
updates zikianza kuinstall tu inajiandika "couldn't install in usb or sd memory"nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhali naomba msaada wenu kuhusu kuinstall airtell modem kwenye ubuntu 10.04 Natanguliza shukrani zangu kwenu....
0 Reactions
2 Replies
976 Views
wadau naombeni mnisaidie jina au link ambayo naweza pata software ambayo itaniwezesha tumia modem yangu yoyote iwe ya airtel, tigo au voda bila kufaya unlock.nlikuwa nayo ila nimeisahau jina na...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Natamani kuangalia Movies Through Netflix Ila Napata Kikwazo cha Ku install SILVERLIGHT Kila mara naambiwa Installation Failed nikibonyeza info nakutana na hii Message " Message ID: 1622The...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salute kwenu wakupwa, ninamkanganyiko na hii moderm (zte: ya vodafone) yangu, pini ninapo ichomeka kwenye laptop yangu inaanza mchakato ikitaka kufunguka inaandika "rolling back" alafu...
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Naomben msaada niko na phone,screen touch aifanyi kazi tena,tatizo ni lipi?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
:alien:wakuu wa hili jukwaa ,heshima yenu! nimekadownload haka kasoftware ile kanamaliza kakaliwa na antivirus,natumia ms security esseciantials. so hii inamaanisha kana matatizo au nini? msaada...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom