Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kuna habari kuwa ukipigiwa simu ukapress * mpigaji atashindwa kukata hiyo cm je ni kweli? au njia inayoweza kumzuia mtu kukata simu ni ipi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wanajamii. naombeni msaada. kama kuna anayejua link yeyote inayonyesha live football streaming tv for mobile. hasa ligi ya uingereza
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu, Ni kwa kipindi cha kama miezi zaidi ya minne sasa tangu nimenunua hii simu yangu ya mkononi na tangia hapo nimekuwa ninasurf mtandao wa JF kama kawaida na speed nzuri kabisa. Cha ajabu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni wiki tatu sasa zimepita,nimeshindwa ku unlock facebook a/c yangu ambayo ilifungwa mara baada tu ya mimi kudownload opera mini mpya na kuireplace na ya zamani niliyokuwanayo. Nilipojaribu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanajf, nimeibiwa laptop yangu juzi usiku. Taarifa iko police ila wanashughulikia taratibu wakati kila kitu kiko wazi mpaka namba ya simu ya mwizi ambapo anataka nimtumie laki 5 ktk tigo pesa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Ni kawaida kila mwaka mwezi december ukiitumia vlc player utaiona icon yake ikiwa na kofia ya father x-mas, je uliwahi liona hili?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa anaefaham bei zake na zinapatikana wapi kwa hapa jijini..betri yangu ya sasa inakaa dk 5 tu inazma..
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu ninataka kutengeneza bootable usb flash na sina tatizo na proccess yake, isipokuwa mkononi ninayo windows7 installation disck tatizo ni jinsi gani nita copy mafaili ya windows7 kutoka kwenye...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wana jf habari zenu,nina moderm ya sasatel ni zile ambazo hauweki line(in built line),sasa nahitaji kuiunlock ili nitumie line zote,wanaziita cdmi(kuna mtaalam kaniambia jina hilo) nifanyaje wakuu.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina laptop aina ya hp compaq mini 110c-1120ei sim card inbuilt modem na nimagundua ina sehemu ya kuweka sim card but bado sijaelewa how to use it or what kind of programs/driver should I have in...
0 Reactions
1 Replies
912 Views
Jf mi nina phone ya nokia X-02 hivi unaweza kunisaidia how can i make settings ili niweze kuangalia YOUTUBE. This is serious please.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nikiwa kama software developer huwa sifurahii kuiba kazi ya mtu. Watanzania huu ni ugonjwa sugu japo upo dunia yote. Hivi mtu ameajiri watu wakatengeneza kazi wanauza halafu we unachukua pirated...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Exclusive Preview on iOS 5 - YouTube
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada waatalam. Je inawezekana dish moja na decoder moja ikahudumia apartments tano mfano. Taratibu ya malipo vipi ie yapo malipo ziada?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UKIELEWA HII KITU USISITE KUTUSAIDIA NA SISI!!! jamani wanajamii kuna post ambayo nadhani wote ambao bado hamjaisoma mtaipenda tatizo ni kwamba nimeshindwa kuielewa vizuri ndio maana nimeamua...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
nashindwa play music on ubuntu 10.04
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Upo na Computer yako(laptop au desktop).Unaandika mchango wako au mada flani ktk mtandao wa JF.Unaipitia mara mbili mbili au tatu ili kusahihisha makosa ya kiuandishi.Unasahihisha na kujiridhisha...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Leo nimeibiwa laptop na simu yenye laini ya Tigo mpaka sasa iko hewani. Naomba mwenye ujuzi wa haya mambo tuwasiliane. Help pls !
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nisadiwe ni prigram gani natakiwa kudownload ili kuweza iphone kushika radio mbali mbali
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wadau naomba msaada wenu,ninaomba kujua kama kuna yeyote mwenye maujuzi ya kuchakachua moderm ya vodafone k3571-z animwagia msaada
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Back
Top Bottom