wataalam naomba msaada wa haraka nina sony ericsson k800i ambayo kabla ya kuiflsh nilikuwa napata internet vizuri lkn baada ya hapo nikijaribu ku-google kitu chochote inasearch kwa muda mrefu...
wakuu kwenye pc yangu natumia kaspersky ant virus,lakin naona mda wake uko mwishoni, sas nahitaji msaada wa jinsi ya kuikeep all the time running na sihitaji kupurchase license kam ilivyo..nataka...
Wakuu nina frash yangu ambayo imeanza kunizingua baada ya kumuazimisha mtu mmoja lakini sahivi kila nikiichomeka kwenye pc yangu inanipa hii message'' you need to format the disc in drive G...
Wakuu naomba msaada wenu kwa yeyote mwenye kujua ni wapi naweza pata/down load engine electrical wiring.
Mchoro wa engine model :1KZ-TE, 1JZ
kuna gari ilipata ajari so wezi waliiba baadhi ya...
niliweka applicatioo ya theftaware(find me) kwenye simu yangu,na ikawa inafanya kazi vizuri cha ajabu kuanzia jana,hata bila kubadilisha simcard inatuma s ms ovyo tu,wakati ilitakiwa ifanye hivyo...
Duh aiseee!! Lap yangu bana imepigwa na mafua kidogo, display imekufa, so coz ina warrant basi nimeisafirisha kidogo, so kwa sasa Napata shida kidogo kuingia JF hasahasa hili jukwaa letu.
Anyway...
Wataalam kuna hii ki2 huwa najiuliza sana.
Ikiwa sim,modem zile ambazo huwa zina2mia line moja wataalam huwa wanaziflush (unlock/chakachua) na kuanza ku2mia line zote.
Swali langu je kwa...
A newfound comet defied long odds on Thursday (Dec. 15), surviving a suicidal dive through the sun's hellishly hot atmosphere, according to NASA scientists.
Comet Lovejoy plunged through the sun's...
Habari zenu wana jf,
Ebana wakubwa mi nina tatizo katika mashine yangu aina ya Dell latitude x300,nimenstal OS ya Ubuntu 10.04 tatizo ni kwamba tangu niweke os hii spika kubwa ya mashine yangu...
yeeeeah huu ndo ukweli kolibri operating system ina mb 1.4 tu na inaweza hata kuingia kwenye flopy ya babu yako hehehe.....
Imetengenezwa na menuet os na zipo version 2 kama hujui moja ina 1.4mb...
Naombeni msaada kama kuna mtu anajua agent wa SONY kwa Tanzania nitawapa wapi wanipe msaada kitaalamu LCD yangu haiwaki inaonyesha taa red kama iko Standby mode lakini ukitumia remote kuwasha...
Naombeni mtaalamu anieleweshe kwanza nimeshindwa kuaccess sehemu ambayo nitaona function ya mtandao ili niweze ona salio na kuongeza hela, pia apple Id imekuwa inasumbua kulog na pia kuna option...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.