Nawasalimu wana-tech wa Jamii Forums,
Nimepoke computer ya sony vaio model:VPCCB26EC ina processing power ya 64-bit, imekuja pre-installed na windows 7 ultimate 64 bit....but then imekuja na...
Wakuu mambo vp? Tafadhalini sana naombeni msaada wenu wa jinsi ya kubadilisha lugha iwe kiingereza kwenye simu ya HTC TITAN nimejitahidi lakini nimeshindwa kwa lugha iliyomo sijui ni...
hey guys!...
Nilipata tatizo la kusend email kwa kutumia outlook ilikuwa inaleta error 800ccc80, nilifanikiwa kuondoa tatizo baada ya kugoogle
na kupata cha kufanya kuondoa hilo tatizo but I want...
Ninatumia windows xp service pack 2 na niliiactivate kwa kutumia keys, lakini baada ya muda inanipa msg "this copy did not pass genuine windows validation" na kwenye desk top kuna maandishi "this...
Natumia OS ya Window XP SP3 ,Baada ya kufanya instaklation juzi,icon ya LAN imepotea kabisa hivyo siwezi kuunganisha BB connection .
naomba wana ICT mnisaidie.
Nadhani wakati wa kubahatisha umepitwa haupo tena.
At TEDMED, Quyen Nguyen demonstrates a molecular marker that makes tumors light up in neon green -- making for simpler, safer surgery. Watch now...
Wana jf nimekwama laptop yangu inaandika lugha nisiyoijua(ni kama kirumi au kifaransa) katika option zote za internet browser yoyote inaonekana kuna sehemu imesetiwa na mtu naomba msaada niweze...
Habarini wana jf, mimi nina laptop ya acer 1410 naipenda sana ila kuna cku ilianguka na ikaua motherboard, naobeni mwenye nayo aniuzie ntashukuru sana.
Muktasari wa habari
Canada is taking a progressive step forward economically, finalizing its plans to join the likes of Australia and 30 other nations by ditching cotton-based paper money and...
Wakuu,
Naomba mnisaidie software ya folder lock maana folders zangu kwenye computer zinachezewa sana na vijana, nimejaribu kudownload kwenye internet lakini kila niliyopata ni demo, nitashukuru...
Natumai wakuu wote mu wazima,
Nina simu ya iphone 4 nimejaribu kupekuwa lakini sijaona kama ina function ya 3d japokuwa picha zake za video na screen saver zinaonekana vizuri, sasa nauliza hivi je...
Leo opera mini imenizingu nikaamua kutumia bolt browser kwenye kimeo changu na nikakutana na ujumbe huu
"Dear BOLT User,
The free BOLT mobile browsing service
will be discontinued...
Habari yenu wana-jf. Naombeni msaada wandugu. CD ROM yangu haisomi cd/dvd na imekuwa sometime inachagua baadhi ya cd. Naombeni msaada nifanyeje.
Laptop langu ni hp pavilion entertainment pc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.