waku u leo nlikua natumia exteno yngu ya 640gb smsung gfla ikaanguka. adi saivi haisomi japo kita kinawaka. na kinchoniuma ni reports zangu,500movies na games zakutosha. naomba msaada jamani...
Hawa tigo biashara imewashinda, hivi kweli mtu ana shida, unapiga huduma kwa mteja, simu hawapokei na wanakata pesa kila unapowapigia hivi huu ni uungwana kweli. Tigo mfe salama, nahama mtandao...
Niko kwenye hatua za katikati katika project yangu ya VIDEO ON DEMAND, kutokana na limit ya bajeti yangu nimeamua kufanya a -do-it-yourself type of project ili kusave, nachomaanisha ni kwamba...
Computer yangu haitoi sauti. Nikiangalia kwenye sounds and audio devices inaniambia "NO AUDIO DEVICE"
Nikijaribu kucheza windows media player inaniambia
"windows media can not play the file...
Kuna picha ambazo nimepiga ziko kwenye simu. sasa nikitaka kuzi apload aidha kwenye email au humu jf zinakataa kwa kuwa ni kubwa sana. MB 1 n.k. zile ambazo nilipunguza saiz ya kamera zina apload...
Wadau naomba mnisaidie kucrack password ya .7z archive file(yani compressed file lenye extension ya .7z).Nimedownload file la aina hii kutoka 4shared.com ambalo lina novel ya My Laugh Comes Last...
In between these free mail services providers GMail, Yahoo Mail and Hotmail, who do you think has the best spam protection (and secure) and why? Have you ever tested the rest?
Tunahitaji kutengeneza program ambayo ni very interractive, kwa mfano tuna duka na tunahitaji kutangaza bidhaa za dukani kwetu kwa njia ya mobile sms. Tunafikiria kutengeneza sms marketing system...
Habari wana JF. Ninaomba kujifunza, kuna faida gani za kutumia teknolojia ya digitali ukilinganisha na analojia? Kama tujuavyo mwaka ujao ndio mwisho wa matumizi ya teknolojia ya analojia. Je, kwa...
Test how good or bad is your memory/kumbukumbu . teh teh RAM na rOM za ubongo wako .
BBC - Science & Nature - Human Body and Mind - Memory Tester
jaribu kamtihani hako juu kutest kumbukumbu...
Jamani sijui kama ni mimi peke yangu naibiwa, ukiweka salio hakuna kitu kinachoingia, tigo pesa nako wamenikata bila sababu. ukipiga simu ndio balaa, mara namba yatumika, mara haipatikani, mara...
kutokana na mfumo wa kurusha matangazo ya tv kubadilika kutoka analogi kuwa digitari kuanzia mwakani,kuna kitu kinanichanganya juu ya haya makampuni ya kutoa huduma hiyo ambayo yapo manne...
Haya tena wadau, kwa wale ambao bado hawajabahatika kupata Kiolesura Fungasha Kiswahili cha Windows® XP (language pack) leo nakileta mbele yenu..(kwa watakaopenda) ..Kiolesura Fungasha Kiswahili...
hii pc nikiiwasha yaishia tu kuandika welcome haifunguki zaidi ya hapo...na hiyo imetokea baada ya kuinstall antivirus kisha nika restart as per requirement, Msaada pls wale wataalamu wa kujitolea...
wadau naombeni msaada wa kupata free symbian games na apps mbalimbali kwa nokia 5320! Napenda sana games ila source ndo sizifaham hasa games za gameloft kama real football 2010... Nisaidieni jamani!
Naombeni ms2ada jamani.Nimeweka OS aina ya xp kwenye PC YANGU ya pentium 2.driver zote za sauti zimekataa kufanya kazi.naombeni msaada.jina la PC linanipa shida limeandikwa kwa kichina
As massive poverty continues to rock the majority of Tanzanians, the latest data reveal that Tanzania`s wealth in terms of the top five metals out of eleven...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.