Wakuu nipo likizo kijijini lapyy imecrash na cd rom imekufa.
Nawezaje kuhamisha/copy mafaili ya win7 to usb flash na iwe bootable ili niweze kurepair windows yangu imecrash?
Nimejaribu kugoogle...
Kama una modem ya voda zile za zte kuna software inaitwa JOIN AIR,itakuwezesha ku2mia line yeyote ya mtandao wowote bila kuchakachua wala ku update frameware.Je? Modem za Huawei haiwezekani? Kama...
A public beta of Windows 8 will launch in late February of next year, says tech news site Next Web.Citing "sources close to Microsoft," TNW pointed to February for the beta's debut but said the...
[*=left]Great Little War Game
[*=left]SketchBook Mobile
[*=left]Paper Camera
[*=left]Sound Hound
[*=left]Asphalt 6
[*=left]Fieldrunners HD
[*=left]SwiftKey
[*=left]Minecraft
[*=left]Endomondo...
Naomba msada kama kuna uwezekano wa kupata kumbumbu za simu nilizo piga au kupigiwa pamoja sms ambazo kwa bahati mbaya nilizifuta kutoka kwenye simu yangu na pia kama kuna uwezekano wa kupata...
Ninafanya installation ya OS CD ya window 7 kwenye computer ya DELL INSPIRON lakini kila inapoanza ku copy windows files(0%) inakaa kama dakika 5 hv halafu inaleta message "windows setup could not...
Mazee heshima!
Sasa ni hiviii, kuna simu LG GT540 imenunuliwa online kama 'unlcked', sasa kwa specs zake, kama zinavoonekana hapa LG GT540 Optimus - Full phone specifications inaonesha kwamba by...
Modem yangu ya wireless Internet aina ya Billion 800VGT haiwaki. Mwanzoni nilifikiria ni tatizo la adapter nikabadilisha lakini haikuwaka. Ninahisi ni tatizo ndani ya modem. Wadau wenye kujua...
Wadau naombeni msaada namna ya kuondoa blue colour kwenye desktop icons kwani kwenye folder names and programe names zinakuwa highlited na blue color, nimejaribu kuiondoa nimeshindwa...
Kwa wale wadau wa Motion Graphic,Visual EFX na 3D hili jina labda ni geni au si geni kwenu.Huyu dogo ni balaa ktk kuitumia Adobe After Effect.Kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia tutorial zake na...
Wakuu naomba msaada wenu mim ni fundi ktk fan ya auto electrical(umeme wa magari) pamoja na electronics na elim ya ufund hiyo niliipata veta chang'ombe dar es salaam.
Nataka niongeze ujuzi...
Accounts za Mama Salma Kikwete Facebook na Twitter zinapost mambo ya kuifagilia Chadema tuu kwa sasa. Inaonekena kama zimekuwa hacked. Wenye access nae wamtaarifu. This is not good.
Account ya...
jamani nikinunuaa bundle ya net inaisha kama upepo! mpaka sielewi muhimu wake! bundle la mwezi linaisha siku moja! hapo nimesurf kidogo na wala sijadownload chochote! au voda ni wezi?:embarassed2:
Habari wana Jf!
Mie nina shida ya vitabu vya kwenye net (e books) vya NEW MEDIA TECHNOLOGY! Nimegoogle mpaka nimechoka.
Tafadhali mwenye msaada huu nitashukuru sana, hata kwa kununua pia nipo...
SAP AG, the largest maker of business-management software, agreed to buy SuccessFactors Inc. for $3.4 billion in cash to keep pace with archrival Oracle Corp. in the cloud-computing market.
SAP...
Value engineering is basically aimed at increasing the value or improving the output without actually increasing the cost of the input. It is actually about the function of a thing and not what it...
nilikuwa naandika kaz microsoft word katka kusave ikaleta option ambayo nikaselect save without knowng nikaja kufungua lile folder ile kaz ya mwanzo yote nayo ikawa imepotea. Je kuna njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.