when ever i try to use or install it, my antivirus security declares it is a virus, its getting on ma nerves coz i try other ways i get stuckk,,, assistance please....:A S embarassed:
hamjambo wajukuu zangu...haya nisaidieni jinsi ya kuchakachua moderm hii ili niweze kutumia line ya airtel..sasa msianze kunipiga mawe maana vijana ninyi bwana...
Wakuu Nilijipa ka homework ka vitendo ka kufanya
kuna vitu gani ndani ya Hard Disk Drive (HDD)
HDD ni muunganiko wa tujivifaa gani ?
Katika makororo yangu ya kompyuta nilikuwa nina HDD ya...
Tomorrow at 9 am EST scientist at CERN in switzerland are expected to announce with fairly strong certainty that they have observed Higgs Boson particle or "Gods" Particle. The particle that gives...
Nawataka radhi km nimerudia post
Naomba kama mtu anafahamu hizo chaneli tajwa hapo juu iwapo wahusika wamebadilisha Frequency zao kwa wale wanotumia Satellite Dish.
Ilianza kupotea channel TEN...
Ndugu wadau hope mmeamka poa...
Naomba mwenye utaalamu anijulishe message yenye huo ujumbe "USB DEVICE NOT RECOGNIZED" kila dk kwenye laptop yangu inajotokeza japo device niliyokua najaribu...
Jamani naomba msaada kwa anayewajua/anamjua wataalam/mtaalam wa ku unlock simu kutoka marekani.Nimekutana na mafundi wengi wanasema wanaweza kutoa lock lakini network itakuwa haisomi.Kwa anayejua...
Ni wiki sasa UDSM Mawasiliano ya simu kupitia mtandao wa Tigo imekuwa shida. Ombi kwa Mainjinia na Wamiliki wa Tigo kama huwa mnapita kwenye hizi foramu mfanye hima maana hali si shwari.
Waungwana naomba msaada wa software ya Pinaco studio na keys zake..any version ikiwa currently itakua vyema zaidi..
Unaweza kunipatia keys au crack na site ambayo naweza kupata hyo software...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.