Nikiwa na-brouse webpage km Jf ina pop-up dialog box inayo describe error ambapo inani promp ku send report or do no send report at the same time hiyo webpage inafunga, hili ni tatizo gani? ina...
Mwenye kitabu hichi jamani msaada naomba anipatie hata kama ni electronic book kinahusu maisha ni jinsi gani wa2 matajiri walivyofanikiwa kimaisha katika njia halali mfano aliyegundua magari aina...
Teknolojia ni nini?
Kidunia kwa sasa ni Technlogy gani ni muhimili wa maisha ya kila siku ya watu
Ni teknolojia gani unyodhani kwa sasa nimuhimu na unaitumia kila siku kwa maisha ya...
wadau wa sekta hii naombeni msaada wa kuunganisha sm yangu aina ya bird w5000 kwenye internet. wakati nainunua nimeikuta ikiwa na opera mini lkn kila napojaribu kufungua kwa kutumia ile wap symbol...
Naomba maelezo kuhusu isset() na functions in general. Sitaki copy and paste nimesearch sana tu lakini they ain't speaking my language. Ni kwa jinsi unavyoelewa wewe.
Ahsanteni
Habari wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia simu yangu aina ya NOKIA 5130 ExpressMusic,ila hivi karibuni imeanza matatizo nikiingia net inazimika na kuwaka pia hata nikiwa nacheza game naweza...
Wakubwa,kuna mtu namdai pesa bt cha kushangaza ni kwamba,kila nkimpgia simu,simu yake inaita mara 1 then naambiwa namba inatumika..lakini nikitumia simu nyingne kumpgia inaita vizur tu..sa nauliza...
Kwanza nitangulize shukran zangu kwa wanajamvi wote mnaoendelea ku2elimisha na ku2saidia hapa jamvin.
Mim ni fundi umeme wa magari hivyo nimekuwa nakutana na wa2 wengi sana wanaulizia na kutaka...
Habari za majukumu wakuu?
Nimepata shida sn ktk matumizi ya cmu zenye uwezo wa internet kuhusiana na utunzaji wa chaji, naomba ushauri wa aina ya cmu ambayo ina uwezo mkubwa wa kutunza chaji...
Naomba kutanguliza kwen shukran zang wakuu kwa kuendelea ku2saidia na ku2elimisha.
Nina nokia 6230 ambayo ukiplay video kweny net au ukidownload na kuiplay inagoma na kuandika FILE FORMAT NOT...
Wakuu laptop yangu nikifunfua web ya jf kwenye kupost thread inakua haionyeshi zile icon za kubadilisha langi na kuongeza ukubwa wa maneno na nyinginezo, tatizo ni nini? Imeanza tangi juzi na...
Habari yenu wadau wa Tech,nimepata kawazo ka kutaja vitu tajwa hapo juu ili kusaidia na wale wanaotaka kujua upatikanaji wa 3G signals za internet za maeneo tofauti tofauti nchini.Hii nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.