Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
WAKUU, nimekubaliana nanyi kuwa google chrome ndo browser nzuri kuliko zote, mnasemaje sasa kwa upande wa antivirus?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada jinsi ya kuchakachua modem hiyo tajwa. Asante.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada kwa install settings kwenye satellite dish aina ya Media com, zilikuwemo lakini zimefutika zote na sasa inaniandikia NO PROGRAM, yaani kuanzia setting za satellite (Hotbird...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
The MOAB is not just a bomb, but its a cyclogical weapons.The MOAB is a precision guided munition which uses global positioning technology to impact at the target location. Detonation of the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Do u know the forces or can u explain what makes an aircraft to fly? Application of Newton Third Law of Motion in Jet engine Nondo zaidi. So have u got the answer what makes an...
0 Reactions
27 Replies
12K Views
Wakuu kwa muda kama wa week mbili sasa sipati channel ya agape kwangu kama wemebadirisha frequence naomba msaada kwa aliye nazo.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
wakuu naona speed ya internet ya airtel imekuwa tishio hapa mjini. inafika hadi 5Mbps. inadownload mb 200 ndani ya dakika 9. kuna mwengine amepata kitu kama hicho au miye tu nina bahati...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Sina akaunti yeyote inayohusiana na mobile banking,kuna kijana kaniambia bonyeza *150*55# halafu piga kwa mitandao ya voda,tigo,airtell. Baada ya kufanya hivyo ikaniambia niingize pin namba...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Tafadhali naomba kwa anayejua bei za madishi ya kawaida na yale ya dstv anijuze kwani nahitaji moja kati ya hayo!
0 Reactions
0 Replies
985 Views
wakuu na wataalam wa ICT na hata wanaojua sheria sheria hasa zinahusu mambo ya ICT Nependa kujua je sheria ya Tanzania inayataka makampuni ya simu yahifadhi mawasilino yetu kwa kwa muda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau nimeskia tetesi kuna watu wamefanikiwa kuchkachua then unatumia for free..Does anybody know?..pls PM ME
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Do you know the source of this technical interview questions list? I hope that there're suggestions. 1. Tell me about yourself 2. What are your greatest weaknesses? 3. Why are you leaving...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Naomba somebody kunielekeza namna ya kuupload picture and videos hapa JF Plz!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu live streaming ya TBC taifa hii hapa kwa wale ambo hawana.. http://s4.voscast.com:7366/;stream0.834256444592029.mp3 tumia VLC ku-stream
2 Reactions
9 Replies
17K Views
Natumaini mu wazima ndugu wana jf, nina tatizo ambalo linaniweka katika wakati mgumu sana,. Nilikuwa natumia external hard disk yangu nimeiunganisha kwenye laptop, baada ya muda ikawa kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari gani wadau wa jf. Kuna options naiona wakati ninapo boot pc yangu inasema boot from usb. Hv unafanyaje.Coz niliwahi kusend file za cd kwenda ktk flash ikagoma
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wandugu JF , natafuta hiyo antivirus-NOD 32 Antivirus kwa ajili ya windows XP au windows 7 kwa haraka naweza kuipata wapi hapa DSM? Naomba msaada. Nawakilisha. Rakey
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wapendwa! Nataka kununua laptop ila sio mtaalamu so naomben mnisaidie specifications za laptop ya kisasa na aina nzur ya laptop nawasilisha
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waungwana wenzangu wana JF naomba kujuzwa ni wapi zilipo ofisi za wakala wa HP Computer hapa Dar.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
VIEW CONTACTS LIST READ TEXT MESSAGES (SMS) VIEW CALLS MADE / CALLS RECIEVED SET THE TARGET PHONE TO CALL YOU WHENEVER IT MAKES OR RECEIVES A CALL VIEW PHOTOS MANY MORE FUNCTIONS Tembelea...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom