Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimeweka memor yangu posword sahv nmezisahau posword nkiweka kwenye Pc haionekani naombeni nisaidieni nifanyeje
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nahitaji blackberry curve yeyote ile hata 8310 poa tu, nipe bei, isiwe ya kichina, new or used, napatikana Dar Mikocheni, nitakufuata popote ulipo,isiwe nje ya dar, ila kibaha, bagamoyo naweza...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
niaje wakuu? Back in days kidogo kuna jamaa wangu alinileteaga pc game flani ivi ilikua na like 11gb bt ilikuja na cd 3 ambazo niza kuburn. Napenda kufaham software ambayo unaweza ukamerge a...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wandugu natafuta software hasa application program za apple iPad
0 Reactions
1 Replies
812 Views
Wakuu naomba kujulishwa nje ya komputa je vifaa kama radio na deki huwa vinashambuliwa na virus au?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina modem ya Airtel na zantel, lakini nikiweka kwenye ubuntu hai-access internet hivi hii ni kwanini?au inabidi ni-install wine niweze kuinstall?kwani kwenye window software installation inakuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu habari, naomba ambaye anaweza akanipa format ya video format ambayo ni compatible na DVD-player, pamoja na video coverter kwa ajiri ya hiyo format. natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wakuu. nakumbuka nilitoa ahadi ya ku supply fifa 12 endapo ningeitia mikononi. sasa natangaza rasmi kwamba nimeipata na yeyote atakaeitaka ani pm. vilevile kuna games kama FIFA 11,NFS HOT...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
I wnt 2 send text 4 free cn u help me?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, nawasalimu katika jina la harakati za teknolojia. Nina blackberry mpya, lakini niko disappointed kupita maelezo. Nimemiliki vimeo vya Nokia, LG, na Samsung, n.k. ambavyo vilikuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nimepata tatizo na machine yangu nimewasha ikatoa mwanga wa orange kwenye kitufe cha power.kuijumla haifanyi start up. namba msaada wenu wakuu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa natumaini wote wazima, tatizo langu nikwamba nimejaribu kuchakachua modem ya huawei e153 sasa umeme ukakatika sasa nimejaribu kuitumia inakataa line zote mpaka ya tigo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani wadau hamjambo?Mimi ni fundi umeme wa mtaani.Nimejiandikisha VETA ili niweze kufanya mtihani wa trade test.Je CHETI chao kinaweza kunisaidia kutafuta kazi sehemu kama TANESCO?kinatambulika...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Wana JF habari za asubuhi; kuna rafiki yangu kanambia kuna software inaitwa Record Me ambayo unaweza uka install kwenye cmu yako au mwenzio ukarecord conversation na msgs zote. Naomba input zenu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Adobe wametangaza kuwa wanastopisha development flash player kwa mobile kwa sasa na wanajikita kwenye future Web standard ambayo ni HTML5. So mpaka hapa ina maana flash inaoenakan inafaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kunatofauti gani kubwa kati ya iphone 2 na iphone 3g&3gs ?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JF guyz naomba mnisaidie nimeinstall kaspesky trial version sasa inaniambia imebakiza siku sita kuexpire nisaidieni jinsi ya kuingezea siku nipeni ujanja pliz!! pia window 7 inasema is not...
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Touch Pack for Windows 7 Windows 7 has been the most popular OS ever for Microsoft. One of the big features of Windows 7 was its integrated support for PCs that were capable of taking advantage...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba msaada sehemu(link) nitakayoweza kudownload google chrome kwa ajili ya pc yangu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu ebwana kuna mtu(mpenzi wangu) nataka nipate details zake ana naona kuna mabadiliko makubwa na kwa kuwa ni mjanja nahisi anachat na kidume kingine kwa facebook wakati mimi ndio...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom