Salamu wakuu...
laptop tajwa hapo juu imepoteza sauti...ina Win7... nimecheck settings na drivers ziko Ok..
tafadhali msaada on how to get it back to work...
shukrani
There are many numbers of hacking techniques available and each hacking attempt happens for a malicious purpose. The word hacker means attacker who assault on the computer's system security...
Habari znu wakuu, juzi kati hapa nimeanza kusoma IT kwa level ya dplma, kna ma asgnment kla kukcha, nachoomba msaada ni website ambzo nawza pata data mbalmbali, dah yaani namkumbuka kilongwe, hv...
Natumia hiyo program hapo juu lakini nina siku nyingi natafuta Cd key zake nimeshindwa; hata nikijaribu ku-dowload inafika sehemu inagoma. Tatizo ni kwamba siku za nyuma nilikuwa natumia version...
Wadau nilienda vodashop kuwaomba waactivate laini yangu kwa huduma ya Who called(nani alipiga nilipofunga simu) ambapo ukiwasha simu unakuta msg ya kukujulisha nani alikupigia
wao walisema...
Nimeinstall a fresh copy of windows 7 kwenye laptop yangu aina ya dell inspiron N5030, baada ya kumaliza baadhi ya drivers zikawa zinamiss, nikajaribu kudownload kwenye website ya dell...
Wakuu habari zenu..
Naulizia kama kuna hackers yeyote hapa bongo na km kuna mwenye mawacliano nae aniunganishe nae its very ugent wakuu...
Natanguliza shukrani zangu...
Wakuu,
Naomba msaada wenu katika hayo mambo niliyoyaorodhesha hapo chini ili kufanikisha utafiti wangu mdogo kuhusu Internet Business hapa TZ
10 Most popular Blogs
10 Most popular Community...
Wakati natumia internet hapa nimeona alert Mozila 8 is available to download.
Mimi nashindwa kuwaelea mbona kuanzia version 4 wamefululiza kutoa verion mpya fastafasta? Lakini pia mbona sioni...
How to disable autorun for USB drives or Pen drives? USB drives or Pen drives are the major carriers of computer viruses. If we use it only on our personal system there will be no problem. But...
Symptoms when infected by Bar311.exe or Winzip123
The virus comprises bar311.exe,password_viewer.exe, photos.zip.exeand pc-off.bat.
When you boot your Windows XP in Safe Mode the message...
habari WANA jamvi,nimeinstalll microsoft office vizuri kabisa,na ina kila kitu ikiwemo power point program,lakini kila nikijaribu kufungua mafile yaliyopo ktk format ya ppt ina kataa kabisa,ingawa...
Habari Zenu,
Mimi ninataka kufungua CRDB Bank account ile nitumie kwajili ya online shopping..sasa nilikuwa ninauliza CRDB Initial Deposit ya USB Account ni shs ngapi?,,yani hela ya kianzio ya $...
As expected, the Mozilla Project has officially announced the release of version 8.0 of its open source Firefox web browser. Based on the Gecko 8 engine, Firefox 8 adds Twitter as a new default...
any one Having the informations on How i can get the device which can help me to implement the virtual machine system ( using one cpu for more than one client at a time) please contact me through...
Wenzetu wameendelea,wanaanza kuvumbua vituko...Hebu cheki hizi picha
Mto wa kulalia wenye mkono wa mwanaume
Kofia yenye kitambaa cha kujifutia makamasi
Butter iliyo mfumo wa gundi
Huitaji...
kwanza natanguliza salam kwa ma great thinkers.
Now twende straight kwenye point. Simu yangu nikiunganisha kwenye pc inakonect vizuri but nikiselekt pc suit haifanction tatizo ambalo before...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.