Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
WanaJF naomba msaada Kuna account moja ya yahoo niliacha kuitumia siku nyingi lakini sasahivi automatically inatuma email kwa contact zote zilizopo kwnye account hiyo Please help mana wakati...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nikama kadocumentari hivi huyu jamaa aliyea ndika kitabu iSteve jobs akitoa undani wa ufikiriaji wa Steve jobs na maisha yake
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Nina cpu ya compaq with built-in speakers. Kila ninapowasha inawaka kwa kama sekunde 30 then inatoa sauti ya beeping mara mbili halafu inazima. Baada ya hapo inaonyesha kuwaka lakini screen blank...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wataalamu nisaidien,computer yangu inajirestart kila nkiiwasha ,hasa nikibonyeza start menu,nimejarib kuscan,nime install window 7 upya,imeshindikana,naomba msaada wenu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Zinauzwa bado zipo poa kama unaitaji n pm & phone no 0689479673 & 0756306963
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajf. Nimedownload videos kutoka U-Tube. Hizi video zipo kwenye flv format. Kwenye PC yangu yanafunguka vizuri lakini nilipo-copy kwenye CD na kumpa rafiki yangu ili akafungue ktk dvd...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
JAMANI, salaam! nimeshauriwa kuinstall microsoft security essentials kwa ajili ya protection against sparms, virus etc.hii ni baada ya kaspersky kuisha muda wake. je imekaa vema hii kitu?? nime...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau habari Jamani naombeni msaada wenu yahoo imekuwa ina matatizo gani mara nyingi nashindwa kulog in inakataa wanadai invalid user id mara chache sana inakubali kwa id hii hii. Tatizo hili...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau hapa ndo utapata nyimbo za bongofleva http://markericktheprince.blogspot.com
0 Reactions
3 Replies
13K Views
Ni wapi naweza kupata housing mpya ya laptop yangu aina ya dell precision
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau hii computer imenitisha toka juzi nikiwasha ikisha load programs ina anza kunguruma kama mashine ya kusaga yaani kelele nyumba nzima! CPU fan inanguruma sanaa!Nikichomoa wire wa CPU fan ina...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
nina cm ya nokia x3 ilikuwa inazngua internet nkaiflash toka ni iflash kila niktaka download 3rd party aplication inadai no certificate. Any 1 anayeweza npa msaada
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A laptop is a compact computer and has small components and has very less gaps for ventilation and cooling as compared to a desktop. It has fans that help in throwing the hot air out as well as...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafuta Iphone 3g, ambayo ipo used na kwenye hali. Budget yangu ni tsh 250000/
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau hata kama hatuwezi kuzipata for the near future basi fahari ya macho tu kuziangalia Glass mobile sony ericsson siemens
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamii naombeni ushauri wenu. Ninataka kununua laptop na nimevutiwa na modeli mbili moja ya samsung na moja ya dell. Specs zake ni kama zifuatazo: Dell Inspiron 5040 Processor: Intel core i3...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamii naombeni ushauri wenu. Ninataka kununua laptop na nimevutiwa na modeli mbili moja ya samsung na moja ya dell. Specs zake ni kama zifuatazo:<br><br><strong>Dell &nbsp;Inspiron...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu jf, Laptop yangu (Acer Aspire 5517) ninapata tatizo na usumbufu wa kutowaka kama kawaida. Kuna siku ilinipa hii msg. "Window detected a hard disk problem, backup your file immediately to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waungwana nime unistall kapersky ya 2010 ili niweke untivirus nyingine bt imegoma kuchomoka,operating system ninayotumia ni window vista,msaada wakubwa!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu Hamasa yangu kwenye mambo ya graphics inazidi kukua na sasa nataka nipate somo kuhusu video producution. Sitaki kuwa professional au careers Video producer wa kutumia camera kubwa bali...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom