Safaricom has had more transactions using M-Pesa than what its global rival, Western Union, has moved across the world.
M-Pesa, which allows mobile phone subscribers to transmit as little as Sh50...
Wajamen na wataalam wa jf, eti kuna ukweli wowote juu ya kutumia administrator acc wakati wote? Manake kuna mshkaji kanishauri nisitumie admn acc wakatai nafanya shughuli zangu za kawaida kwenye...
Jamani mwenzenu kila nikiwasha compyuta yangu inaniletea kameseji ambako kananiudhi sana!!
Kameseji kenyewe ni haka! Windows Script Host ... Can not find script file...
Ndugu zangu kama kuna mtu anamjua fundi anayeweza kutengeneza PS3 hapa Dar aniambie tafadhali. PS3 ya kijana wangu imegoma kusoma CD.
Natanguliza shukrani.
Tiba
hallo,naomba niulize ivi ni brand gani ya washing machine ni nzuri na ninaweza nikaipata hapa tz kwa bei poa?na je ni nini nitahitaji kujua kabla ya kununua?ahsanteni
How do I get rid of the Trojan horse virus
Basically I am aware of 4 ways everyone can use to get rid of the trojan horse virus.
Buy a new computer (you won't believe me but it works!).
Call a...
Siku za nyuma nilikuwa natumia vizuri, lakini kuna siku niliondoka nilivyorudi nikaona ile program/software ya modem ime kuwa unistalled nilipojaribu kuweka modem ili ni install modem haionekani...
inakuaje wakuu? kwa wale gamers nataka niwapashe habari njema,in no time nitatia mkono wangu kwrnye kitu cha fifa 12. kwenye ijumaa this week nitakua nimeshaipata and guess wat? nitaisupply for...
Wadau naomba msaada khs internet ya mtandao upi itanifanyia fair coz kudownload ni sehem kubwa ya matumizi yangu ya internet na hata kama si hvyo bado matumiz yangu ni ya mfululizo NIMEJARIBU VODA...
Jamani wataalam,naombeni kujuzwa hii Zuku TV network(kama sikosei). Naona wanatoa service kule Kenya,huku bongo vipi??
Maana naona kama Channel zao nyingi kidogo ingawa sijaona Channel yoyote ya...
habari za mida hii wana jamii forum.
jamani naomba msaada ya kupata software ya kuflash sonyericsson w900i na jinsi ya kuflash hio simu coz cable yake ninayo na internet ipo vizuri
asanteni wana jf
Jamani mie nina simu tatu ninazotumia siku zote na kila moja ina line yake. Lakini nina ugonjwa wa kusahau na wakati mwingine naweza kusahau simu moja au mbili ofisini au nyumbani. sasa nataka...
Jana nimeinstal TrustPort USB antivirus kwenye flash yangu aina ya SONY USB2.0 (4GB), no problem occured hadi leo nilipocopy file kadhaa za ukubwa wa kama 1.3GB. Sasa shida imekuja kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.