Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habari zenu wanajamvi..kwa wale wapenzi wa muvi za mambo ya kisayansi na teknologia (SCI-FI) naombeni mnisaidie...nilitazama muvi hii zamani kidogo (kama miaka 3hivi iliyopita sijui) na sasa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu samahani kuna maelezo ya kutumia lain zote kwa modem ya vodafone zte k3570-z kwa kutumia join air nimejaribu kuyatafuta tena nimeshindwa naomba msaada khs hilo plz!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna app iko kwenye market ya android inaitwa "LIVE TV" ni nzuri sana kwani unaangalia mechi za ligi za ulaya zote live kwenye simu yako. Mi nina Galaxy S2 leo nimeangalia game la Arsenal lote...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, naomba msaada hapa, I cant get access to internet kwenye Blackberry........linawezekana ku-configure hii kitu nipate mobile internet bila kulipia package za mwezi za blackberry...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Naomba msaidie nimedownlod bolt na uc browser kwanye simu ya NOKI 2730Classic,lakini haifungukia nifanyeje???natumaini nitapata msaada wakuu.
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Waungwana nina modem ya vodacom aina ya vodafone HSDPA USB Stick....model: K3565-Z ......ZTE corporation je naweza kuiflash mana nataka kutumia line ya airtel? How?
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Ebana tabu tupu hapa katika pc yangu.nikijaribu kufomat cd haionekani.nimejaribu kuweka cd rom ingine mchezo upo pale pale.je kuna sehemu nakosea?
0 Reactions
4 Replies
820 Views
If you want to make your own fonts in window then just follow these steps. first go to start>Run & type here eudcedit and hit enter. Now use your creativity & make your own fonts.
0 Reactions
2 Replies
945 Views
Optical Character Recognition (OCR) is a method that allows you to convert scanned documents into editable text form.If you have to copy some book or other piece of work from a paper into your...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Habar za wakati wataalamu wa it.Simu yangu aina ya NOKIA 1280 imegoma kuwaka na inaandika CONTACT SERVICES.Hapo ufumbuz ni nini?msaada jamani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
If you are surfing on small monitor and want to use full screen to view websites just press F11 and your browser will remove all toolbars, address bar and the full screen size will be utilized to...
2 Reactions
2 Replies
739 Views
A PERSONAL assistant built into the latest iPhone is wowing owners with its ability to answer odd questions — it even knows the meaning of life.The gizmo called Siri was designed to respond to...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Habar zenu wadau mim cyo mtaalam xana wa haya mambo lkn kutokana na mawazo yangu na mtizamo wangu binafsi kuna hili swala linaniumiza kichwa kidogo ndiyo mana nimeamua kulifikisha kwa wataalam...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Text becomes unreadable Open Notepad On the very first line, type in "dont eat the donut" (without quotes) then save and close the file. Note: the file should have only one line of the text...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
JUST follow these steps 1. Login to your account 2. At the top-right corner, click on Settings 3. Under Settings, click on Filters 4. You’ll now see an option “Create a new...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Spread a cloth on a flat surface and place the CD on it. 2. Then, hold the disc with one hand, use the other to wipe the polish into the affected area with a soft cloth. 3. Wait for it to dry...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Assuming your starting from the very beginning... * You MUST set single core mode in bios! * 1. Acquire Kalyway Leo 10.5.1 Intel Install Image. 2. Acquire Kalyway 10.5.2 Combo Update 3...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi hawa jamaa wamebadilisha viwango vya kupiga simu nini. Karibia wiki nzima sasa naona makato ya ajabu ajabu tu au ni mimi tu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu wakuu wa kambi viongozi wa msafara...kama nilivyoandika hapo juu...application hii ya ZIP MANAGER nimekua nayo karibia katika kila simu (smart phone) ninayonunua tatizo nashindwa kujua ni ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu naombeni msaada jinsi ya ku unrock moderm ya tigo model E153u-1 ,IMEI 352375045181518 ,S/N;KMA5TA10C0713800.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom