kuna tabia ya watu hapa jf mtu anapost kuhusu labda free internet au any hacking then watu wanampiga vijembe naombeni tujiulize mambo yafuatayo
1.kuna hackerz mzuri duniani kama jeshi la...
wadau natumia simu ambayo inasapoti WI-FI. Sasa niko sehem ambayo hii wireless local area network is detected on my phone (e72). Sasa how to go about surfing the net via this WLAN?
Wakuu nimejaribu kugoogle na kucheck videos kadhaa za yutube jinsi ya kupost yotube video hapa JF lakini nimetoka kapa, kila nikijaribu nashindwa, NIMETUMIA NJIA TOKA LINK HII...
Ndugu zangu nimekapenda haka ka simu kuna mwenye uzoefu nako ili nijue kama kananifaa nipate kukanunua halafu vilevile kwa hapa tz ni tigo tu! wanaouza au naweza pata ambayo sio network locked ili...
Kwa wale wataalamu wa PHP its another problem I've encountered while trying to install a WAP community script. Tembelea hapa uone error yenyewe. It's in the core.php and register.php files...
Port Scanning
Port Scanning is one of the most popular techniques used by hackers to discover services that can be compromised.
A potential target computer runs many services that listen at...
What is CAPTCHA and How it Works?
CAPTCHA or Captcha (pronounced as cap-ch-uh) which stands for Completely Automated Public Turing test to tell Computers and Humans Apart is a type of...
Siku zote modem hazijatengezwa katika kiwango chake cha "kudownload data" pamoja na ku "upload data". Baadhi ya Internet service providers( ISP) hubadilisha firmware za hizo modem,hivyo ipo...
Bill Gates' house was designed using a Macintosh computer.
One of every 8 married couples in the US last year met online.
The first domain name ever registered was Symbolics.com.
"Stewardesses"...
nimebaini hapa jukwaani kuna watumiaji wengi sana wa blackberries kuliko vile nilivokuwa nategemea. Simu izi zipo tofauti sana na simu za kawaida na inavitu vingi sana ambavyo watu wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.