Jamani nimekutana na tatizo moja dogo, nime design website yangu nikaweka radius corners/curves nimetest kwenye firefox imekubali lakini kwenye IE imekataa ninasuluhisha vipi hapo?
Hii ni ile tab(sizani kama niko sawa) yaani zile information za mobile broadband nnapodisconect modem na kutaka kukloz inagoma ila inakubali kuminimize tu ila haitoki labda nikizima na kuwasha...
Habari waheshimiwa,
Nimekwama hiyo printer ina print mixed colours kote kwenye black and white na pia kwenye color option, nimejaribu kuweka catridge mpya matokeo yamekuwa yale yale nimechukuwa...
PC yangu nina ms word ya 60days only.
Nahitaji wa kunisaidia jinsi ya kupata key ya full license. Nitafurahi mkinisaidia mahali pa kuipata kwa bei nafuu.
Natanguliza shukrani.
KUFORMAT COMPUTER KUNAFANYIKA PALE AMBAPO COMPUTER YAKO INAKUWA IMEZINGUA (IME CORRUPT).
NINI MAANA YA KUFORMAT COMPUTER?
NI KITENDO CHA KUFUTA KILA KITU TOKA KWENYE HARD DISC YA...
TTCL Broadband Connection ya ADSL ile inayotumia telephone landline inamatatizo muda sasa..zinafika siku 6 kuna mtu yoyote anayotumia halafu haifanyi kazi mpaka leo hii?mana mimi adi leo hamnakitu...
wataalam
mimi inbox ya e-mail yangu inashambuliwa sana kwa kuingia mails za kichina nyingi , yapata hata mail 60 kwa siku
naomba ushauri nifanyeje kuzuia hii hali
asanteni
mfano wa...
Nimekuwa nikitumia laptop na modem,ambapo nikiweka sh 2500/- nasurf mwezi mzima. Kwenye simu najikuta nimejiunga moja kwa moja,hivyo vocha yangu iwe ya line yoyote nakatwa kulingana kB na mB...
Wataalam natumia dell d 600, wakati wa ku start up inaanza vizuri lakini baada kama ya dakika tatu, ina stop mouse haifanyi kazi na program zote zina stop(stack) pia inaleta ujumbe usb root hub...
Halow Jf!!
OK nilikuwa nafanya Research fulani kuhusu kutengeneza Pesa online kwa wenye Website,blogs,wapsites na Developers......etc
matokeo yakawa mengi ila short ni Kufanya matangazo Binafsi...
The file comprises of more than one emulator for
PS1
PS2
GAMEBOY ADVANCED
NINTEDO WII
NINTENDO DS
MAME
NES
XBOX
SNES
WS
PSP
You can download it for free from Emulator Pack - All Consoles...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.