Airtel wameamua kuwapa tenda wapinzani wakubwa wa Huawei yani ZTE kuwatengenezea modems. Duuh... thanx to god ile temporary unlock ya huawei e153 ilikua inaboa thanx tu ZTE ambao hawataki shida...
TECHNOLOGY boffins paid their "last tribute" to the late Steve Jobs as they queued - some for days - to get the new iPhone.
Crowds flocked to Apple stores around the country to get the...
BAADA YA KUELEZEA JINSI YA KUFLASH MODEM ZA HUAWEI E153 NA VODAFONE ZTE K3570 NILIPOKEA MAONI MENGI KUPITIA KWA WADAU WA JAMI I FORUM NA WALE WA MPEKUZI NA PIA KUPITIA EMAIL YANGU...
Hapa karibuni kama mwezi hivi, modem yangu ya zantel imekuwa na speed ndogo zana, 153kb/sec wakati hapo kabla ilikuwa ina speed ya 3.1mb/sec sasa sijui wenzangu wanaotumia zantel nao ni hivo hivo...
Habari wakuu.
As you might have noticed, i'm a big fan of iPhone na kila kitu kilichokuwa Steve-jobbed. Hivi karibuni Apple wali-release iPhone 4S (iPhone for Steve) ambaye saa hizi amefariki...
Nimenunua moderm ya Airtel lakini kila nikijaribu kuchomeka kwenye kompyuta inaniambia " Window cannot access the specified device or path or file. you may not have appropriate permissions to...
Wakuu naombeni msaada wa kupata program ya video converter nataka kuconvert nyimbo za video mp4 kwenda DVD au kama kuna mtu ana jua free link yoyote yenye program hizo anitupie hapa jamvini...
hebu someni hii khabari imekuwa femous kidogo.. dogo MCHINA ana umri wa miaka 19 tu!... paid a poignant tribute to Apple founder Steve Jobs became an internet hit today with its minimalist...
Wakuu baada ya window xp kunizingua vya kutosha nimeamu kuinstall window 7, iko poa lakn tatizo ni kwamba haijaja na sound drivers. Mwenye nazo au link yake anisaidie.
Latest MACBOOK PRO 13.3 for immediate sale with the following specs:
13.3-inch LED backlit glossy widescreen
Mac OS X Version 10.6.7 (precision aluminium unibody)
Processor - 2.3 GHz
Memory -...
Decide if it's time to leap forward to a brave, new operating system
Apple's new mobile operating system is finally nigh and imminent. Apple fans have been eagerly awaiting iOS 5 since it was...
Wapo ambao nimeshawaelekeza. Kwa wale ambao bado wanateseka ku-upload picha, kujua likes, friend requests, page visitors, editing your information n.k kwa kutumia mobile pata maarifa hapa.
Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.