Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Viulizo hivi watu tunavitumia kwakujua ama kutokujua katika kufanya mambo mbali mbali kama Kwenda kazini, Kutongoza , nk teh teh teh teh Kufanya maamuzi kama kuchagua kati ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Someone tell mr how much is the least charged price for website hosting????
0 Reactions
2 Replies
1K Views
http://dl.91rb.com/update/pcsuite/91...obilesetup.exe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
http://youtu.be/lzsBwnv_dAg
1 Reactions
0 Replies
777 Views
Community for people who want to advertise and promote their products and services. Also a perfect platform to meet with other people to share and discuss different topics. Join now for free and...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Habari. Naomba kufahamu kama kuna tofauti ya HP na HP Compaq. Ninatafuta betri ya Laptop HP 6730s dukani kuna HP compaq 6730s Aliyeniagiza yupo mbali sana. Vipi kuna tofauti ya vitu hivi viwili?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
najua asilimia kubwa ya wana JF humu ndani pia ni wapenzi wa huu mtandao FB..lakini hivi ulishawahi kujiuliza kwa wewe unaetumia FB,hivi kwa mfano FB ikifungwa ulishawahi jiuliza utahamia network...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Modem naiweka inaleta maandish kuwa no net work nifanyaje? na bundle za voda tunajiunga vipi?
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Wataalamu naomba mnijulishe hili tatizo sababu zake ni zp!natumia chrome kama default browser yangu,lakini nikifungua facebook ,ile page hai display yote yaani inaonesha ile ribbon ya facebook,my...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau naombamaoni yenu mi niko mbeya ila tbc na star imekuwa hadithi wengine wanasema frequency zpo chin wengine wanasema mfumo umebadilika samahan naomba msaada ktk hili*
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jaman nilikua naomba mwenye key za folder lock 7 anisaidie,,
0 Reactions
1 Replies
831 Views
whts up JF members this specially for people who were looking for online storage!! A VERY EFFICEIENT WAY OF DOING BACK UP FOR YOUR IMPORTANT FILES!!!! now Adrive wametoa 50gb free...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Our Apple iPhone 4G comes with complete accessories, also with one year limitedwarranty and Apple Protection Plan Minimum order is 5 units. Buy 5 units Apple iPhone 4G (32GB), will receive two...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Latest Apple Mac Book Pro 13" with Mac OS X operating system for immediate sale with the following specs: Version 10.6.7 Processor 2.3 Ghz Intel Core i5 Memory 4Gb 1333 MHz DDR 3 Macintosh HD-320...
1 Reactions
0 Replies
874 Views
mkuu hapa watu wengi tunatumia computer moja hivyo baadhi ya file zangu zinafutwa nimejaribu kufungua new account lakini unaweza kuifungua na kuweka pasword lakini uki-restart na ukaingiza user...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ni matumizi gani sahihi unapotumia laptop yako ili kumentain life ya bettery:- 1- utumie wakati umeiconect charger? 2- wakati hujaconect charger?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WanaJamvi. Nimenunua Samsung A887, Wakati naitumia kwenye internet ghafla ikazima, nilipojaribu kuiwasha ikawa inawaka na kujizima yenyewe tendo ambalo linajirudia mara kwa mara mpaka nilipoamua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ni j2 nyingine tunamshukuru Mungu kwakua tu hai. hapa nataka kuongelea swala la msanii huyu anayejiita kivuli. Kuna rafiki yangu alinitumia wimbo huu kwa bluetooth,akiniambia niusikilize ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ndugu, Naulizia wapi kwa DSM inapatikana the best grafix designing skul na cost zake zikoje? Pia mode ya masomo ikoje?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani watoto wamebonyeza tv yangu mpaka imejilock.inaonyesha kufuli la rang ya njano.Hakuna botton inayofanya kaz zaid ya ile ya kuzima na kuwasha.Naombeni msaada jaman!hako kakufuli ni ka njano.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom