Ndugu wana jf,majuzi nili-renew line yangu ya airtel iliopotea cha kushangaza haina uwezo wa ku-access internet,hata pale nilipowapigia simu na kuwaeleza tatizo langu haijasaidia kitu kwani tatizo...
Wapendwa..
I and my colleague are nearing opening a mini market(whole and retail products) in a strategic location in TZ
I would like to be furnished with information (our effort to...
mimi navyoona sasa hivi competition kubwa katika makampuni yanayo tengeneza vifaa vya electreonics imehamia kwenye utengenezaji wa smart phones. kwa sasa kila kampuni inajitahidi kutengeneza...
Considering there are hidden files,folders or drives in your computer (organize -> folder and search option-> view -> don't show hidden files,folders or drives i.e windows7), using the best...
Wangwana salaam!!!
Zaidi ya juma moja hivi sasa nimekuwa nikijaribu ku-download Java Software bila mafanikio! Nimejaribu kufanya downloading kwenye PC mbili tofauti lakini mara zote ina-fail! Hii...
Kwa wale wanaopenda kuwa web developer/design pateni ideas on how to kick start your career in web designing.Becoming A Web Developer/Designer | hv-designs. Pia tembelea website yote hapa. Adobe...
Hodi wana JF!!
Nimenunua digital camera aina ya Sony Cybershot. Kwa bahati mbaya nilianza kuitumia kabla sija-set date. Sasa nashindwa kuseti date. Kumbe nilitakiwa kuseti date kabla sijaanza...
Natumia SAMSUNG GT - B3410. Naomba msaada wa kuweza kudownload video kwa njia ya mtandao kama vile youtube, etc. Nimejaribu kwa kila namna lakini nashindwa. Naomba msaada wenu wadau kwa hili tatizo.
Wengi tunapenda kuwa ma-programmer hasa wa lugha ya computer(computer language)kama vile c++,JavaScript,
xhtml,html,php n.k.
Lakini tatizo tunataka kuyafahamu hayo just for over...
nilikua natumia eset nod 32 ,then nikaamua ku change to kerpersky,kabla sija install kerpersky nili uninstall hiyo eset nod 32 na ikafutika kabisa,lakini nilipo jaribu ku run kerpersky kwa ajili...
habari zenu wanajamvi,
nlipenda kujifunza programming bt kwa jinsi ilivyo ngumu nimeamua nijifunze python kwanza, kwale wale wataalamu ningependa kupata ushauri kutoka kwenu. nimeanza kujifunza...
Habari wana JF.
katika hali ya kujikwamua na tatizo la maji niliamua kuchimba kisima "open well" na kwa bahati nzuri maji yamepatikana, kwa muda sasa kinatumika. tatizo ni kwamba maji yake bado...
Ni kama week 3 au zaidi tangu kutangazwa rasmi kutolewa kwa windows 8 beta version ili wataalam watumie na kuikosoa kabla ya kurekebishwa na kutolewa windows 8 yenyewe katika soko. Mimi...
wanajamii habari zenu binafsi,Wajamii mimi nilikuwa naomba msaada kwa wataalam ni kwamba nihatua zipi muafaka ambazo napaswa kufuata ninapotaka kudaload video ama musiki na je unapodaload nikiasi...
wanaJF wenzangu mambo vp???? Natumai mu wazima.Wataalam wa umeme wa jua naomba ushauri kwenu ninahitaji kufunga umeme wa jua kwa sababu niko mbali na inakopatikana nishati hiyo ya gridi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.