Washika dau wangu nina ka huawei modem hapa e153 nimekachakachua mpaka zile 10 trial zikaiisha manake kalikua kanasumbua,hebu niambieni nini cha kufanya zaidi ni ka mtandao wa tigo,au...
Wana wa jamvi naomba ushauri wenu kuhusu hili. Toka nikiwa mdogo ndoto zangu ni kumiliki kampuni ya uchapishaji, hasa katika kuchapa maandishi na picha kwenye fulana. Nilianza zamani sana nikiwa...
Wadau na hasa wataalam wa mambo ya graphics nimewai kuleta hoja hii kwa kuwa sikufanikiwa leo narudi tena tena kwa ushauri
Katika kujifunza, kufanya na kujaribu mambo kwa vitendo napenda...
nashindwa kuelewa wameona nini mpaka kubadilisha hii bomba 7 ambayo naamini ilikuwa na wateja wengi tu...sasa imekuwa kero,,spidi ndogo, page hazifunguki ukiuliza eti "restart modem yako!!!""...
jamani wakuu nimekutana na hii article about flashing a phone using only usb data cable and some few software nakaona niipost ili wale mafundi wetu uchwara wa mjini wasiendelee kutulia pesa zetu...
hi 2 all technologists and scientists bila kuwasahau wa zee wa
{<html><body><font color="0000" size="3">programmers</font></body></html>}
i just mean wazee wa lugha ya mashetan a.k.a...
Jamani mimi napenda sana mziki na nina ndoto za kuwa producer. Nimeanza nza tumia fl studio toka niko form3 mpaka saqsa niko chuo mwaka wa 3, lakini sijui kupga piano tan keyboard ile ya ukweli...
Wanajamii naombeni msaada jinsi ya kuangalia encrypted chanels kwenye decoder yangu inayotumia antena ya kawaida.yenyewe inashika almost chaneli zote za ving'amuzi vya tanzania na...
Wakuu habari.....
Naombeni msaada ninatumia hp dv5-2155dx ram 4gb processor intel i3 ambayo nimeinstall ubuntu 11.04 na windows 7 profession ktk partition tofauti.
Tatizo ni kuwa kila nikiacces...
hey guys nauza samsung wave two still new nimetumia kwa muda mfupi guarante 1 month
if interested coll 0713619476
google it to see its specs..
Ni hayo tu
ApTiquant issued a press release claiming that it had invited 100,000 web users to take IQ tests and matched their results with the type of browser they used.It also supplied extensive research...
wadau kuna plan nafikilia kuja kufundisha masomo ya computer hasa kwa vijana wetu wa shule za msingi,nitaanza mwakani nikiwa hai,nitafundisha bure bila ya malipo,na vilevile nina mpango wa...
Nina mpaka wa kutuma newsletter kwa wateja wangu zaidi ya 6000 tatizo ni software sahihi ya kutumia kuwatumia nimejaribu kutumia outlook 2003 zimeenda kwa wateja wanne tu sijaelewa tatizo....je...
nilikuwa nimefungua email yangu kwenye yahoo, wakati bado niko signed in, ndugu mmoja naye akaomba naye afungue email yake ambayo pia ni yahoo. nikafungua window mpya ya yahoo lakini bado nikakuta...
Kuna wenzetu humu wamewahi kupata matangazo toka kwa watu wanaotumia majina ya INTERSWITCH au kujifanya mawakala wa INTERSWITCH , unaambiwa ukingie kwenye tovuti ya interswitch na kubadili taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.