wANDUGU,
NIMEPATA HII MAIL, NI KWELI AU UTAPELI ???????????????rom: nokiaconnectclaim@hotmail.com
To: XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Subject: NOKIA VERIFICATION REQUIREMENT (Fill & Attach Passport...
Haya tena wale wateja wa voda kila ukiongeza sh 1000 ya pamoja unapewa sms 100, dakika 10 na 500 megabytes ambazo utatumia kuanzia saa 5 usiku hadi saa 12 alfajiri! Ni hayo tu wakuu!
Wana JF,
Kuna namna yoyote ya kupata PUK baada ya sim pin kuwa blocked? Kama ipo tafadhali naomba msaada wenu. Ni sim yangu ya siku nyingi hivyo hata starter pack yenye PUK siioni.
Voda wamenzisha package mpya wanaiita SPIDI 7 ambapo unalipia tsh 15000,unapata 1GB only ambazo utaweza kutumia kwa wiki moja kwa UNLIMITED speed. Kumbuka BOMBA7 au BOMBA30 (tsh 30,000 kwa mwezi)...
$12.5 Billion!
Mtengenezaji wa simu na tablet za Android Mototola ambaye juzi, juzi alitangaza kuwa amepata hasara na pia alitangaza nia ya kuwashitaki watengenezaji wengine wa Android kwa...
PLEASE SHARE THIS FORWARD >>>
From; Kachina Glover
Virus spreading like wildfire on Fb and My Space! It is a trojan worm called koobface. It will steal your info,invad ​eyour system and...
guardian.co.uk/technology/blog/2010/oct/06/facebook-privacy-phone-numbers-upload
Is your private phone number on
Facebook? Probably. And so are
your friends' Uploads from iPhones using the...
jamani msaada kwa yoyote anayefahamu wapi naweza pata modem inayosuport CDMA, nina lSIM card ya TTCL.
sina uhakika kama hizi modem nyingine zenye kusupport WCDMA,EDGE,HSPDA,GPS etc inaweza faa...
Kama unatumia simu ya line mbili, ukifika mbagala, kuanzia mtoni na kuendelea kama unatokea mjini, mitandao yote haifanyi kazi ispokuwa tigo tu.
Tatizo hili lilianza siku ile ya mabomu ya...
Guys, nimedownload movie thru Vuze program ila si computer wala DVD player imeweza read hiyo movie! Nimejaribu kuifungua kwa Window media player, na quick time with no avail!
Si mtaalamu wa...
Hi Guyz,
Kuna wakati niliwahi kuandika kuhusu namna ya kufungua bios password kwenye compter(laptop na desktops). Nimekuwa nafuatilia hiyo kitu for sometime now.
So nimekuja hewani on the same...
habari wakuu,nimenunua modem yangu TTCL, sasa tatizo limekuja hapa
nimeweka elfu nane nikajaribu kuactivate package ya 1gb lakini ikagoma.activation code yao ni *201*1234*2# 7 days
lakini hola...
jamani wadau kila nikijaribu kufungua website ya jamhuri National Website of the United Republic of Tanzania, napata warning, Warning - Malware Detected, Warning: Something's Not Right...
hacking group Anonymous has vowed to "kill" social networking site Facebook on 5 November 2011.
Speaking via a YouTube video, the group also claims that "Facebook has been selling information to...
WanaJF wenzangu habari za jioni baada ya purukushani za siku nzima natumai mu wazima.Nalileta mbele yenu hili linalonisumbua kichwa.Kwa ufupi jamaa zangu wa kanisa huko mikoani wana hospitali yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.