Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wadau wa jukwaa habari Nimepata simu ya HTC herm200 na nahitaji kuiunganisha na computer yangu lakini nikiichomeka na usb cable haionekani.Lakini nimesikia kuna software lazima uinstall kwanza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Yeyote anayeweza kunisaidia Dell inspiron cam drve download link pleas..
0 Reactions
0 Replies
843 Views
jamani tujue kuwa kwa tanzania ukitoka tu nje ya DAR basi hakuna spidi ya maana ya internet. zote zinakuwa ni EDGE tu , sio 3G tena. labda kwa zantel nao wao hawapo sehemu nyingi kwa sasa. mie...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
youtube.com/watch?desktop_uri=http%3A%2F%2Fwww.youtube.com%2Fwatch%3Fv%3Dwo4anqp39z4&v=wo4anqp39z4&gl=US Brand new interface!!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu Kuna files na folders zinakuwa na maneni yana rangi ya blue lakini sijayaweka kuwa hivyo inaweza kuwa ni nini? na jinsi ya kuyarekebisha?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
eti unapo install win xp kwenye laptop iliyoandikwa designed for windows vista au 7 hua ina miss audio na vga. hua nn??
0 Reactions
5 Replies
1K Views
JAMANI WATAALAM WA VYOMBO VYA KITEKNOLOJIA NAOMBA KUULIZA ETI HP PRINTER YENYE UWEZO WA KUPRINT,KUPIGA PHOTOCOPY,NA KUSCANI NI IMARA KWA MATUMIZI YA KILA SIKU?KWA KUWA HAPA NI KWA WATAALAM WA...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Modem yangu inakataa kuconnect net nijaribu njia zote nimeshindwa inaniambia kuna software inazuia kwenye my laptop bt kwenye laptop nyingine inapiga mzigo kama kawaida'wakuu kama mtu anaweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salama wakuu? shida yangu ni moja kama inavojieleza hapo juu. tatizo ni kwamba hizi modem hazijaandikwa imei(ni version ya zamani kidogo) so dzain kama kuna S/N peke yake kwaiyo na kwama katika...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
MAMBO VIPI WAKUU, WAZEE KAMA KUNA ANAYEWEZA KUNISAIDIA KUPATA SCREEN YA LAPTOP YANGU, AMBAYO NI LENOVO THINKPAD T400, MODEL YA SCREEN YAKE NI: LP141WP2 (TL)(B1) P/N: 42T0498 YA KWANGU...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Laptop Buying Guide: Making Sense of the Specifications Shopping for a laptop, but unsure about the features you need? Here are the most important laptop specs to consider. By Jason Cross...
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Bilashaka leo upo happy, pole kama hauna furaha.. Wakuu mimi natumia samsung sgh u900 ina matatizo mawili makubwa 1) mtu akinipigia simu nikaikata bila kuipokea simu inakata alafu inaniandikia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ya saizi wana JF,minaombeni msaada kama kuna mtu ambaye anajua jinsi ya ku hack password protected excel file,yani nikwamba kuna files nataka kufungua,ni za excel lakini nashindwa kuona...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta universal box.mwenye nayo aniambie anauza shiling ngapi.Nimeweka hapa hii mada sababu wataalam wengi wenye kujua haya mambo wanapita hapa.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari JF, Pliz nisaidieni. Nime-format PC yangu majuzi. iliiingia virus kibao nikashindwa kuwatoa wote ikawa ina-behave kiajabu ajabu so nikaamua kui-format. Baada ya kuhangaika sana ku-format...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wataalamu wenzangu...kila nikijaribu kidownload kutoka hii link inagoma please naomba mnijaribie halafu mniambie inaleta msg gani, nashindwa kuelewa kama ni server yangu inazuia au file lipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sidhani kama kuna Haja ya kubishana kwamba hi website ni nzuri au mbaya!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ninaomba mnisaidie namna ya kutatua tatizo kila nikiunga Modem yangu kwenye computer yangu inaleta msg km inavyoonekana kwenye picha. Asanteni sana wadau.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi! JF members, nikifungua e mail adress yangu inanitaka kuupgrade yahoo mail yangu. What that? and how to upgrade? na inahitaji explorer 7 how can i know my explorer is 7, 8, or 9? help please
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wakuu this is really killing me, and my reputation around coleagues. Kuanzia kama miezi 7 iliyopita imekuwa kwamba anytime I use tech devices kama simu( mainly WAP), internet na computer...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom