Siyo kwamba nimeisahau bali ninaitumia kila siku na ina hata hint lakini inagoma kabisa kwa sasa na humo kuna mambo muhimu sana
Hapa solution ni nini?
nitashukuru
Hallo wana Jamii
leo asubuhi nawasha laptop yangu, ikawa inatoa mlio na baadhi ya keys zikawa hazifanyi kazi nimeifungua na kuisafisha na kuifunga tena lakini tatizo bado linajirudia...
ninaomba...
Top 15 Terminal Commands for Hidden Mac OS X Settings
Update: This article is very old. Most of the Terminal Commands still work, but consider checking out our top Terminal commands for Leopard...
Ninayo hii kwa sasa... watakaoihitaji twaweza kusaidiana.
See what's new in AutoCAD 2012:
Download the brochure - http://images.autodesk.com/adsk/files/autocad_2012_product_brochure_en.pdf...
Nina computer desktop kwa miaka minne sasa ila sasa imeanza tabia ya kujizima baada yakuwa nimeiwasha, nikahisi ni uchafu tu ila nilipoifungua na kuishafisha ndani nikaitest kuwasha tena ikawaka...
Baada ya kufirisika kampuni ya g-tv watu walishindwa kuvitumia tena vyombo hivyo
chizi computer
ukitaka kutoa lock ya g-tv ili upate chanell ambazo una zi control we mwenyewe
password ni hii...
naombeni msaada kutatua hili tatizo. Huwa natumia huawei e1550 in win7 ultimate kwa muda mrefu, lakini ghafla ika-disconnect. Niki-connect in display hiyo error. Nifanyeje?
Jaman jaman,hv been taking my time kufwatilia hilo swala. Am using Nokia 5800 xpress music.
Fwatisha maelezo ya fuatayo kwa makini sana.
1. Ikia kwny link hii...
May 30, 2011
THE African Network Information Centre (AfriNIC) is to hold its 14th bi-annual meeting from June 4 to 10 in Dar es Salaam, Tanzania with this years main themes being IPv6 deployment...
Kijana wangu mmoja anasoma katika chuo fulani cha computer Arusha, Baada ya wiki moja ya masomo yake nikampa kazi fulani anisaidie lakini baada ya kugusa computer yangu akabaki akishangaa...
Nina website ambayo awali nilitumia static html and simple javascripts pages,ikawa inawork vizuri katika Dreamweaver.
Nimejaribu kuongeza baadhi za features na kufanya implementation kwa kutumia...
Hawa jamaa kila nikiona yale mabango yao na jinsi wanavyosema ukiwa na zantel kifurushi chako kinatumika taratibu kama mshumaa, nawashangaa sana.
Sasa hapa ina maana speed yao ni ndogo ndio...
Nimejiunga na kifurushi cha unlimited for 30 days cha vodacom
aisee ina speed nzuri cjapata ona naeza download like 4 GB Kwa masaa 12. usipimee
nawashauri mtumie hiii...
Jaman nko katka wakat mgum, hyo namba inanisumbua lakn mmiliki wake smjuw! Tafadhali,mwenye skills za intelijensia, anipe data za hyo namba ni nan na yuko wapi?
Poleni wana JF wote kwa majukumu.
Ivi karibuni nimejiunga na hiyo bank ili niweze kupata baadhi ya huduma zake za kibenki while I am at home or anywhere provided internet ipo. Nishapewa ID na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.