mamboz wadau,
naombeni msaada wenu wa ku unlock moderm yangu ya voda ili niweze kutumia mtandao wowote maana voda ipo expensive sana na hizi ela zetu za mawazo ni noma.
natanguliza shukran
Wakuu hesma yenu tafadhali,
Nina laptop yangu imekataa kabisa kupokea internet service na sijui tatizo nini naomba mwenye utalaamu wa kutegua tatizo anisaidie tafadhali.
Natanguliza shukrani
Wadau hivi km nikidownload software au application yoyote kwakutumia simu halafu nikaisave kwenye memory card ya simu je nikiihamishia kwenye computa itafanya kazi?mfano antivirus ya pc...
RIP Typewriters: Last Manufacturer Closes Its Doors
by Todd Wasserman 22
Joining other discarded technologies of late, including the Flip video camera, Kodachrome, and the humble floppy disk is...
Fews days back tumejadili na wanaamv ihili kujadili mada zinazohusu mobile data service. Kuna misamiti makampuni ya simu naona yanatumia kuvutia wateja kama vile 4G au 3G. lakini je tujiulize...
tafadhali kwa yeyote anayeweza kunisaidia: ni kwamba ninayo CD yenye software ya program ya virtual DJ(atomix productions) ambayo nili-install kwenye computer yangu(windows XP) na ikawa inafunguka...
Sensitive personal details of tens of millions of internet users have been stolen by hackers in one of the biggest ever cases of data theft, it has emerged.
Fraudsters have obtained data on...
Jamani naombeni msaada kwa wanaofahamu ni mahesabu gani yanayotumika kutambua kiwango gani cha AMP zinazotakiwa kuendesha ukubwa wa solar kulingana na na WATTS zake
mfano: solar ya watts...
Wana JF kama kuna mtu anafahamu juu ya ku-print scrn na ku-paste bila ya window kuonekana, yaani niweze kupaste kile ninachokihitaji bila kuonekana vitu ambavyo nimeminimize.
Natumai wote mu wazima wakuu. Kwanza ningependa kuwashukuru wote kwa michango yenu yenye burasa, mbarikiwe sana na muendelee na moyo wa kusaidiana.
Mimi ni kijana ambae nasoma form five kwa sasa...
Habari wana technologia,
nina pc yangu aina ya ibm,nlikuwa natumia jana gafla ile batan ya start ikapotea nika restart lakini imekuwa vile vile:
N:b nili install avg antvirus ikasababisha comp...
By Jay Yarow | Apr. 25, 2011
Steve Jobs has fired off one of his characteristically terse emails in response to the furor around Apple keeping location data on iPhone users.
Jobs supposedly...
Jamani nilisikia kuwa kuna program inayofanya cd ya playstation i play kwenye PC.
Naomba kujua jina la hiyo prog na jinsi ya kuidownload kama kweli ipo.
please wana jf tushee knowledge!
Ndugu zangu ama kweli dunia imebadilika. Sasa unaweza kununua computer 1 katika radio station yako, ukaajiri na watangazaji wasiozidi 3 pamoja na mtaalamu wa kumonitor software ya utangazaji. Sasa...
wakubwa.Tanzania hakuna chuo kinachotoa mafunzo ya ICT au IT kwa njia ya computer kwa grade ya cheti,diploma nk
kama unakijua ebu niwekee.
chuo kikuu huria wapo wanafundisha basic kwa computer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.