WhatsApp Messenger is a cross-platform mobile messaging app which allows you to exchange messages without having to pay for SMS. WhatsApp Messenger is available for iPhone, BlackBerry, Android...
A Total of 150 primary and secondary schools in the country have benefited from education training through the use of modern technology provided by IYF, a civil organisation that offers community...
naombeni muongozo wapendwa...
nataka kusoma IT ila sijui nisome nini hapo baadae.....sina qualifications nataka nichukue dimploma in IT this year ,halafu nichukue degree....naombeni mniambie...
Wazee Habari za Pasaka, Nimepata Tatizo Kidogo Kama Ifuatavyo:
Mimi Ni mteja wa Nmb sasa Nilikuwa Naongeza Salio Kwenye simu yangu Kupitia Nmb Mobile Tatizo Ni kwamba Credit Hazijaingia kwenye...
Habari za Jumamosi Wakuu.Nipo hapa kuomba msaada kwa wataalamu kwani hapa ni jungu kuu lisilokosa ukoko.
Nina Ndugu yangu amepoteza Laptop Bag yake ambayo ndani yake kulikuwa na vitu...
Nina laptop aina ya Dell latitude D430(Notebook) imekufa mother board. Model No: PP09S
I real need that replacement board! Nimetafuta baadhi ya maduka pale Dar sijafanikiwa.
Nilinunua Unlocked Blackberry Storm II ya Verizon toka maduka yanayouza bidhaa hii kwa njia ya mtandao huko Marekani.
Rafiki yangu tuliyenunua naye pamoja Blackberry Storm II ameweza kuitumia...
Tanzania: Reflections on the Rush to Loliondo
Ramadhani Kupaza
19 March 2011
column
The rush to Loliondo for the "magic cure" that Babu provides can be viewed as a reflection of...
Pluto was reclassified as a "dwarf planet" because it does not dominate the neighborhood around its orbit. Pluto's "moon," Charon is about half its size. True planets are much larger than their...
Wana wa familia ya JF hamjambo?.Jamani naombeni mwongozo nifanye nini ili kuiokoa simu yangu nokia E61i jana nimedownload movie ya ukubwa wa MB 4 na capacity ya memorycard ilikuwa ya MB 512. Sasa...
Wadau nina shida laptop yangu wakati wakustart kikawaida inatakiwa inipe swicth user ili niweze kuchagua user,lkn hutoa user mmoja tu,kweye cotrol haitaki kuset user,msaada tafadhali
Habari za mapumziko wakuu!Naomba kuuliza leo nimeclick wikipedia nikaona historia za watu mbalimbali,nami napenda kuweka habari zangu hapo naomba mwongozo jamani.Asanteni pasaka njema .
Hello wana JF wenzangu!
Napenda kuwaalika wana IT wote katika, ceremony moja ambayo nimeiandaa kwa ajili ya kuweka hewani(online) software yangu ya mwanzo kwa ajili ya symbian v3 mobile...
SAID Mahupa, mfanyakazi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam anazungumzia adha ya umeme inayoendelea kuitikisa Tanzania akisema: Suala la mgawo wa umeme limekuwa tatizo sugu lisilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.