Dear members we have accomplished 90% of construction of Transport sector database. I am inviting you to visit www.transportinfo.go.tz. It is a database where you can access information in form of...
Wataalam wa program. katika kuendelea kujifunza kwa vitendo mambo mbali mbali ninataka kupata ushauri wa kitaalam, au source ya article nzuri au hata souce ya Video training zitazotuwezesha...
Naomba Msaada wa code za IDM 605 kwa mtu mwenye nazo,NIlikua natumia trial version lakini muda wake umeisha na nimeipenda sana hii Software,Natanguliza shukrani kwenu wana Jf...
The following are the specs for my Power book G4 15'
Mac OS X Version 10.3.9
Processor 1.5 PowerPc G4
Memory 1GB DDR SDRAM
Apart from that it has the following accessories:
2...
Nafanya final year project katika ICT hapa mlimani sasa kuna program ya macromedia flash professional 8 nimeipata ila nashindwa kuitumia. Nataka kutengeneza multimedia content for...
Nimewahi kusikia kuwa kuna namba unaweza kuingiza kwenye simu kwakulenga namba fulani ikikupigia usipatikane na unaweza ukaitoa na baadae akikupigia ukapatikana.
kama kuna mwana jf anaijua naomba...
jinsi ya kuweka program kwenye cd mpaka ikawa installed kwenye computer za watu wengine. Namaanisha kama nimeandika kwenye text pad na nika compile na nika run, lakini hii program yangu nataka...
Hello JF once again,
Napenda kuchukua fursa hii ya ukweli na uwazi, kuwakribisha wana JF katika kutia nguvu kazi katika Project yangu iliopo katika tovuti ya hapo chini---unataweza kufaidika vipi...
WanaJF wote mambo vp? Naombeni kuuliza kwa wanaofahamu tatizo liko wapi? Natumia simu ya nokia E61i napata hizo channel live ila tatizo wakati wa mchana zinakwamakwama sana ila usiku kuanzia saa 6...
Wadau, jana niliweka simu mezani: kijana wangu mdogo akaichukua na kuanza kuichezea, nlivokuja kustka imelock line (Vodacom) inaomba PUK!!! Bahati mbaya kabisa nilishapoteza (Hii line ni ya...
na2mia nokia e51 nilimpa m2 cmu yng ai2mie kwa wiki bt imerud ina lock code nided!nimetafuta master code generat software bt inagoma kugenerate mastercode za bb5 phone!
Any1 2save me 4dis pls?
1.TUMA NENO SUB KWENDA NAMBA 15524,utapata maelekezo ya kuchagua lugha nawe utachagua
2.bonyeza **62*+255784101125#
Mpaka hapo utakua umeshajiunga na huduma hiyo ambapo utakapopigiwa simu...
Tazama sasa hivi ni saa 12.58 jioni
kama unaniona nimevaa vipi,nasema nini
ikifanikiwa hii ,tunaachana na mambo ya kutegemea TV za kibongo kama leo tulivyokosa matukio muhimu Tabora,Uganda,Dar...
Jamani, kwanini tunakua nyuma kiteknolojia kiasi hichi Watanzania?..Kutwaa mabegi na vibahasha eti tunasoma IT !!!...Ebu waliosoma waungane angalau na sisi tuambiwe tumetengeneza Software...
Wakuu nisaidieni kunijuza, natumia USB Stick ya HUAWEI ya Zain (airtel) na nina line 2 (sim-card) niliyoanza nayo ilikuwa modem inawaka rangi ya bluu 3G sasa hivi imepotea natumia ingine imewaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.