Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Wana Jamvi, nahitaji msaada wa kutazama Television za bongo live kwa free. Links please!!!!:help:
1 Reactions
6 Replies
4K Views
salam wakuu,nina external hardisk yangu ambayo nimestore ma files yangu sasa shida inakuja sometimes mafaili yanaonekana kama shortcuts yaan mpaka uende kwenye ubuntu,uyaduplicate kwa kutengeneza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii huduma inapatikana wapi hapa dar? Utaratibu wa kuungiwa nao unakuwaje? Nadhani pia ni bora kuliko ving'amuzi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mtu amewahi nunua CDs toka kwa hawa jamaa? http://www.vtc.com Mimi nahitaji lakini malipo yanataka visa card,nami nilipo ni kijijini, siwezipata visa card Naomba msaada wenu kwa wenye udhoefu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina Iphone 3G imepasuka kioo. Wapi ninaweza kukitengeneza au kukibadilisha Jijini Dar?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habar zenu wanathnker jana niliipiga chn window xp s2 nikaiweka nyngne mara baada ya kuona machne imekuwa nzito na kunabaadh ya mafile ya window kuwa yameliwa na virus na pia partishe niliyokuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF wote mambo vp?. Naombeni kuuliza kama simu yangu inao uwezo wa kuangalia tv live kama aljeezra simu ninayotumia ni nokia E61i
0 Reactions
7 Replies
14K Views
Wakuu nipo kwenye hatua za mwisho kutengeneza online file sharing community, tutakuwa tuna share files kwa kutumia applications kama ARES, Utorrent, Bittorent, Vuze etc. Nipo kwenye process ya...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wataalamu wa mtandao ninapata email ambazo sizifahamu nifanyeje kuzizuia, kwakuwa zinajaza sanduku langu bure.
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Wataalamu wa mtandao nipata Imail ambazo sizifahamu nifanyeje kuzizuia, kwakuwa zinajaza sanduku langu bure.
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Wana JF nisaidieni jinsi ya Kuseti outlook email, natumia moderm ya Sasatel, tafadhali mwenye maarifa anisaidie!!!!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Firms and local communities undertaking construction works along the country’s coastal part where there is expansive clay can now sigh with relief after researchers from Ardhi University and...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
kompyuta nikiiwasha inawaka vzr,nafanya kaz kama dakika 10 then inazima yenyewe,whats wrong?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
1) WAZEE NATAKA KUPATA MSAADA WAKUDONLOAD ANTIVIRUS YA KASPESKY NA NIWEZE KUJIWEKEA SIKU MWENYEWE BADALA YA TRIAL VERSION YA SIKU 30 AU BADALA YA KUNUNUA CD 2) JE KUNA UWEZEKANO NIKAJIWEKEA HATA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wazee nikikataka kukopi kitu toka kwenye flash au memory card inaniambia remove write protected nikitaka kuiformat inakataa nifanyeje wataalam?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Looking for solarwind expert to finishup setting an installation which has already done. He/She will be required to configure dashboard, network atlas and giving brief training to administrators
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naoma mnisaidie jinsi ya kujiunga na hiyo huduma.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
ebu tzama hii YouTube - NTVKenya's Channel kisha linganisha na za kawaida hii ni nzuri jamaa wanafanyaje au youtube pia unaweza kudisgne mwenyewe.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi members, My drive C of the server if full but other partitions have enough space,and due to this some applications can not be opened?how can i increase the size of this drive?please help.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu uwezo wangu wa kuimiliki keyboard ya pc unaniwia mdogo kwa sababuu cjawahi kujifunza kuchapa,jamani naweza kupata softwere ninayoweza kuitumia kujifunza typing kwa haraka mimi mwnyewe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom