Wakuu mambo vp? Nilijaribu kudownload hizo software kwa kutumia simu yangu lakini kila ninapojaribu kufungua inakataa inaniambia FILE FORMAT NOT SUPORTED nitumie njia gani ili niweze kuinstall...
HTML5 inaruhusu baadhi ya elements mpya ambazo hazikuwa zikikubalika kama tags kwenye HTML 4.
Mfano kuna element kama nav,footer, audio ,video, aside, section n.k kujua elemets zote mpya na...
Nime install window 7 entreprise kwenye laptop iliyokuwa na window 7 professional isiyokuwa genuine, now the problem comes that nimerestart computer after succesful installation of 2007...
ndugu zangu nisaidieni key VODA MODEM IMEI 356517032175203 ,model k3565-z, voda phone mobile connect.ZTE corparation.(nawashukuru sana DANSEL,AMBILI,na Drphone kwa ushauri wenu)
Call India Unlimited
· Call: 1-877-434-8997
Call India Unlimited.com provides unlimited india calling service. A sure substitute for all prepaid India phone cards and other Call...
How is it that a device as fundamentally flawed as the iPad can be so successful that it is the single most aspirational device in the industrialized world? Or, to be more specific and mundane...
Mara nyingi tukiongelea vikwazo kwenye sekta ya ICT serikali imeonekana ni kikwazo katika mambo mengi.
Wakati nakubaliana kuna mambo serikali inatakiwa kuyaweka sawa bado kuna wataalam wengi kwa...
Internet giant Google has announced the launch of Umbono, a Cape Town-based technology incubator that will provide qualifying internet and mobile technology entrepreneurs with seed capital...
Wakuu na wataalamu wa kutengeneza simu naomba msaada wenu.
Kuna ndugu yangu aliletewa simu aina ya Sam sung ch@t 3222 toka nje ya Tanzania(Nchi za Asia)...simu hizo hazikamati mitandao ya Tanzania...
vp wadau,naona hawa walioanzisha olas hawakujipanga vizuri wana ujumbe wa kutegatega sana watu,kama change from being an orphan to a single parent or having both parents,tutawafufuaje wazazi...
mimi ni mdau from arusha na niko deeply in need na begi la mgongoni kwa ajili ya kubebea vitabu pamoja na laptop yangu,nimejaribu mabegi ya hp lakini naona quality yake sio nzuri sana,a durable...
Habari wapendwa! Nimekutana na dell moja hapa ina sehemu ya kuweka simcard lakini nikienda kwa device manager sioni device yenye jina linalohusiana nalo. je inawezekana kuweka simcard na kutumia...
Jamani nilikua naomba msaada wa basic tutorials wa hizo mambo juu. Na je,nchini kwetu kama kuna wataalam wa hizi softwea mbona hamna application kama kwenye movies na games programming? Maana mimi...
Heshima mbele wanatechnology,binafsi nataka kuanza kujifunza from scratch,hakuna hata programu moja ya kompyuta ninayoijua lengo langu ili niweze kuwa web designer
When all you have is a hammer, every problem looks like a nail. This is a common mistake that a lot of technical security practitioners make when dealing with security issues. Always focusing on...
wapendwa wadau wa j.f, eti inawezekana ktk simu ya mkononi kublock namba ya mtu call isiingie kama anapiga, wala text msgs zisiingie! Inawezekana hii kweli? Tafadhali kama inawezekana naombeni...
wadau nina ka pc kangu niliwekewa win 7 ultimae na mjasiliamali lkn baada ya mwezi mmoja pc inaniandikia kuwa your window is not genuine ,mara you may be a victim of softwere counterfainting alafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.