Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Wadau ma great thinkers, naomba nitoe ujumbe ambao nadhani unaweza kuwasaidia wale wapendao mambo ya ku Fix matatizo kwenye computer hasa window seven. Si unajua bongo, nilimuomba mjasi a.k.a...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wandugu, Naomba kujua software amabyo naweza kutumia ili kukopi movie kutoka katika DVD ambazo ziko protected, maana nimeiingiza nataka kuibanjua, basi naaambiwa haionekani DVD yako. Nitashukuru...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani wana jamvi natumia window 7 na ninahitaji kuset serial communication port pia baud rate nifanyeje msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mouse ya laptop yangu toka jana imegoma kufanya kazi natumia ile ya kawaida lakini kabla sijaipeleka kwa fundi naomba nisaidiwe huenda ikawa ni swala labda la setting
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Great Thinkers,naomben mnisaidie jinsi ya ku update software za modem...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tuongelee yote kuhusu engineering Tanzania, Cdhan kama nimekosea jukwaa hapa ndo mahala pake, Ningependa kufahamishwa kuhusu soko la engineer tanzania, Tuongelee yote kuhusu ajira, Tenda zao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kujiunganishia internet ya TTCL kuna waya wao wa simu upo ndani nyumbani. Je ninahitaji vifaa gani vingine ili kuweza kujipatia huduma za internet kwenye kompyuta yangu? Naomba...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nilikuwa na avast 5 kwenye lappy yangu, nikai-uninstall na kuweka Avira premium. Sasa nikienda kwenye registry nakuta values za avast na kila nikijaribu kuziondoa inanikataza as if zipo kwenye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
HP G5000 Note book, OS Window xp Laptop hii ilikuwa ina stuck ni kaona niifanyie system restore, nilipo bofya sysrem restore ikafuta icon zote za desck top na task bar kama wakati inataka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wandugu naomba msaada wenu, natumia simu ya blackberry, nilikuwa nikifungua baadhi ya website zinataka niwe na adobe flash player, nimetafuta katika getjar sikupata,sasa wandugu nifanyeje ili...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
What is TX RX? tx rx is type of connection which will help to you to connect your phone with pc for software operation. its just a type of connection name. what is cpu? Central...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu natafuta Huawei smartphone QWETZ key yeyote anayefahamu inakouzwa anielekeze na iwe na mfumo wa GSM na sio CDMA
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu kuna hii site www.giveawayoftheday.com inayotoa free software moja kila siku, mi niliijua kupitia hapa jf. Nashauri hii post iwe maalum (special thread) kama ile ya arsenal/chelsea etc. Tuwe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimepata sms kutoka Tigo wakinitaka ninunue kifurushi cha wiki kwa shilingi 4500, lakini sijui wanatoa bundle ya MB ngapi, pia kwa anaefahamu vizuri tarrif za internet ya tigo na MB wanazotoa...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
new iPad 2 as being lunch today for 2011 Apple chairman Steve Jobs waves to his audience after he unveiled the iPad2 Apple boss Steve Jobs has returned from indefinite...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
zile rumors za kuhusu ni lini iPad 2 inatoka sasa nadhani zinaenda kuwa za kweli. Wameshatoa baadhi ya picha za iPad 2 na muda si mrefu itakuwa ipo sokoni tayari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwanza napenda kushukulu kwa watu kuni omba niludi kwenye jf nilikasilishwa na majungu ambayo si ya msingi. 0712484995 step za kufanya si kila dish kama lina shika ila kama una lnb kubwa ambayo...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
greetins wakuu.... tafadhali naomba msaada kwa yoyote anaeweza nsaidia IDM yenye key.....
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna bosi hapa sasa kazidi, kwani ana tabia ya kufunga simu ya mezani (ttcl land line) kisa eti tusipige. Naye utumia pin kufungulia . Je kuna mtu mwenye master key ili atusaidie ?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Site Profile Estimated Value: $102,120.06 USD Estimated Revenue: $138.97 USD per day $4,169.24 USD per month $50,725.74 USD per year Estimated Pageviews: 61,375 per day 1,841,255 per...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom