Ule mpango wa uchakachuaji ulokuwa umekithili katika watumiaji wa moderm za zantel sasa umefikia kikomo, jamaa wamesha gundua na wame block zile prox number za bure, i mean ths proxy
user =...
KUNA VITU VINGINE UKIPEWA STATISTIC NI AIBU MNO KWA TAIFA
YAANI SISI WATANZANIA KWA IDADI YA WATU WENYE ACCESS NA INTERNET NI
WA MWISHO MNO AFRICA NA AFRICA MASHARIKI....TUMEWAZIDI BURUNDI TU...
For fun ,najaribu kutengeneza website kutumia html.
Nataka iwe na page say 5!
Code muhimu za html nimesoma online na baadhi za CSS.
Licha ya kusoma about a href code,sijajua vipi his webpages...
Naomba nisaidiwe jamani maana naona kama imekuwa too much ninatumia vodacom modem sasa last week nilijiunga na bundle ya 500MB lakini baada ya siku moja mkwanja ukawa umekwisha kitu ambacho si cha...
Wadau naombeni msaada wa hii kitu "downloader".
Mimi nina winrar hivyo nikidownload vitu navikuta huko kisha extract kwa matumizi,tatizo ni uslow na sometimes hata ikifika 95% ikikata unaanza...
Frances national train service (SNCF) is offering 1,000 USB TRAIN TICKETS in a trial. The tickets also contain a unique-ID RFID chip that provides wireless easy pass access to trains. By...
63Share
Email
Research in Motions roadmap for its CDMA-based BlackBerry smartphones were leaked to CrackBerry, which shows a similar progression towards touch-based UIs, higher resolution...
Cellphone use affects brain activity after 50 minutes Special
By Kathleen Blanchard.
+
New research shows cellphones excite the brain by stimulating glucose that can affect...
Samahani, lakini itabidi niseme ukweli. Tanzania kwenye swala la teknolojia, tumelemaa. Tumekinai, hatutaki challenges na tunapenda virahisi.
Jee ni kwasababu, au ndo tunavyofundishwa hivyo? au...
Naomba mtu yeyote anisaidie na manual settings za mtandao wa zain/airtel maana nimehangaika kutuma meseji 232 bila mafanikio...simu yangu ni Nokia E72, nitahitaji CONNECTION NAME, ACCESS POINT...
Wakuu,
Tri Labs New Website
I have been working on our new website and today we finally went live. I am looking for constructive feedback so that we can make it even better.
Please...
Wadau,
Naomba kusaidiwa maelezo ya kitaalamu au ya kiuzoefu kuhusu mambo ya ammunitions, hususan bomu.
Kufuatia ajali ya mabomu Mbagala na GongolaMboto, nimesikia kauli kama:
Bomu lilitua...
This shows how the future world is going to be.
Click the link.
æªæ¥ä¸çç强大ãå æ¥äºæ¯ä¸ªè§è½ç触æ¸å±ããäººäººç½ æ ¡å -å享ã
By Joel Evans | February 23, 2011
There have been rumors floating around the internet for weeks now, and yesterday they hit an all-time-high. Now Apple has come forward with an official invite...
Waungwana
Natafuta MODEM ambayo naweza kutumia mitandao yote, yaani naweza badilisha SIM card nikatumia ama VODA, TIGO, AIRTEL au ZANTEL, any idea nitapata wapi?
hey wazeeya,wakubwa nimekua nikijaribu kufungua payapal kwa crdb visa bila mafanikio...card nimeiunganisha na internet banking ila kila nikijaribu ku confirm napata
We were unable to verify this...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.