Wandugu, yuko rafiki yangu amenikaribisha(invitation) kutumia drop box ambayo baada ya kukubali mnashare folder. Ndani ya folder hiyo unaweza kuingiza faili lolote hata kama ni wimbo na yeye...
Jamani naomba mwenye kufahamu anijuze nini cha kufanya juu ya tatizo la computer yangu kuwa nzito, Computer yenyewe ni DELL laptop, yaani kila nikifungua programme yeyote inakuwa nzito mno wakati...
whts upp guys..
kuna huyu virus anaitwa win32/bamital.DV trojan,anasumbua ile mbaya kutoka kwenye pc,
nimejaribu kutumia combo fix,malware bytes lakini badoo..
ANY MSAADA,ADVICE,anyone ambaye...
Today I want to share with you about one important thing. That is health.
Although we feel that we are healthy, it is not always so. In reality, our health is always in danger. A lot of poison...
me tatizo langu dogo tuu, yaan nashindwa kucomment a comment, yaan nikitaka kukoment kwny thread nakuta comment yangu imekaa chini kbs, ila ss nawezaje kucomment a comment? yaan ile labda nina...
Wanajamvi Tuchambue, tukubushane ,tuulizane tuelimishane behind the scene nmbinu na mechanism gani CPU inazotumia kuhandle job, task na process mbali mbali
Kwa nini sometime pc ina...
natumia iPhone, siwezi download nikiingia iTunes, wananitaka niwe na account pamoja na code ya kuniruhusu kudownload, plz msaada on how to register an account na kupata tht access code
Hi wakuu,
Nahitaji msaada wenu. I am planning to create a simple Java program ( .jar ) which will store its data in XML format.
I would like to access some data from XML file and export to...
WanaJF ninawapa pole sana kwa kile kilichotokea jana GONGO LA MBOTO mana hal ni mbaya sana. Kwa jins inavyoelezewa na jins nilivyoona ninawapa pole sana marafik ndugu jamaa na watanzania wenzangu...
Sun unleashes huge solar flare towards Earth
By Paul Rincon Science reporter, BBC News
Click to play
Click to play
Time lapse image of the solar flare as seen by Nasa's Solar...
Lengo la teknolojia ni kurahisisha na kuboresha maisha ya jamii. Hivyo AfroIT tukiwa kama wana jamii tumeanza kuandaa mafundisho ya kutengeneza tovuti kwa kutumia joomla.
Katika mafundisho...
Wakuu nataka kutumia registry cleaner ili niweze kuspeed-up machine coz kuna mtu aliniambia kuwa hiyo njia inasaidia kuongeza speed ya computer, lakini kuna rafiki yangu mwingine anasema kama...
mambo vipi wakubwa/
naombeni msaada wa activation security shield ya avira coz co yangu imejaaa virus wengi sana au ni njia ipi naweza kuitumia ili niwaondoe hawa wadudu wote?
URGENT PLS!! Wadau nisaidieni. Nimejaribu siku nzima kufanya usajili wa kijana wangu kupitia web ya NECTA bila mafanikio. Jamani nitumie njia gani li web hili ilfanye kazi???
Wakuu naomba mnisaidie kunipa shule jinsi ya kurestore OS ya zamani, coz kuna vitu nilivitunza kwenye desktop so nilipoiformat vikapotea na bado navihitaji. Nilliwahi kusikia kuwa inawezekana...
Natumia Window xp,
iligoma kufanya kazi kwa siku nzima ,nikaamua ku-repair kwa kutumia CD na ikafanikiwa kuirejesha kwenye hali yake.
Lakini pamoja na programme zote kuwepo lakini mafaili yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.