Jamani mwenzenu nimetumiwa bill ikinitaarifu kulipia huduma ya kudownload ambayo siifahamu wala sijawahi kuitumia. Sielewi jina langu na adress yangu wameipata wapi.
Nilidhani mchezo sasa naona...
SIFA:
OS-win xp prof sp3
RAM-500MB
SPEED-1.9Gz, INTEL PROCESSOR
HD-60GB
BRAND-DELL optiplex gx 755
Nikiwasha inaleta mwanga wa njano badala ya mwanga wa kijani katika power indicator ( AMBER...
Natumia avast antivirus 5 leo nimepata nyingine ambayo ni v 6, asa nikajua nikiinstal itaitoa ile v 5 badala yake zpo zote mbili nikijarbu kutoa moja haitoki nikaweka avira imtoe haitoi pia,, je...
HP DV9000 blank screen fix! Video problem BGA rework
This fix also works on the HP DV2000, DV6000 and DV9000 there are a couple more HP's with this BGA video issue. Also effected by this issue...
Hiki kitu kilinifanya niwe na shauku ya kuingia jamvini leo na kuuliza....kuna mtu kamchakachulia bro wangu modem yake ya zantel...yaani ni anatumia internet bure bila kurecharge wala nini...
nikitumia kumputa yangu the i leave it for a while (roughly, approx 10-45 minutes).bila kuzimwa nikirudi kuitumia ina stuck kwa mda!!!,(approx 5-15 minutes) :thinking:
what is likely 2 be the...
Wadau ninaomba ushauri ni aina gani ya Projector kwa ajili ya presentation ou video projection. Ntashukuru kama ntapata ushauri wa kitaalam, specification, Picha pamoja na Price (approximately)...
Nimeshuhudia vitabu vya shule za msingi za somo la Tehama, hivi waalimu wanafundishaje? maana vina mambo ya computer parts na kazi zake, computer peripherals na kazi zake, Internet/mtandao wa simu...
Wandugu habari za majukumu, Nina software ya Flexi 8.1v nahitaji kuistall kwenye pc yangu lakini sina keys zake
Naombeni msaada
Natanguliza shukurani zangu
Kwa muungwana mwenye kujua namna ya kuondoa au nifanye nini ili kuondoa tatizo la kukatakata kwa video kwenye kompyuta yangu anisaidie. kompyuta ni dell insipiron 1525
Wanajajamvi na kama wapo na wasomi wa chuo kikuu maarufu Tanzania.
Sijui Kama wasomi wanaotakiwa kuwa mfano wana jua kazi ya website. Je hizi website zinaanshwa kama fashion na mkumbo tu ...
habari wana technologia, ninampango wa kununua GPS yenye uwezo wa kukusanya data katika mfumo wa GIS (point, line, and attribute) naomba msaada wapi naweza kupata na bei ni kiasi gani
Do you write technology articles or business technology? Do you believe in changes? Wanna give support this young fella?
visit his blog:
tungule.wordpress.com
write...
:A S-alert1:European scientists have embarked on a project to let robots share and store what they discover about the world.
Called RoboEarth it will be a place that robots can upload...
Mkuu Calvin na dr.phone msaada wenu wahitajika,niliichakachua modem ya ZTE model K-3565-Z kwa kutumia DC-Unlocker kwenye report ikaonyesha sim status ipo unlocked,Sikuweza kutumia sim card ya...
nina HP Pavilion dv9000, na haikuwa na tatizo lolote lile tangu nimeinunua bt sudenly iliaza kuchora mistari ya rangirangi with a bad sound signal.. wat i did was to shut down and see wat was...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.