Naomba kuuliza,
Hivi wadau wanaoshirikiana ktk SMS kila mmoja wao anajuaje idadi ya SMS zilizoingia?
Kwa mfano, waandaaji wa Bongo Star Search (BSS) wanawezaje kujua idadi ya SMS zinazotumwa...
The Catholic Church has approved an iPhone app that helps guide worshippers through confession.
The program - called Confession - went on sale last week through iTunes for £1.19 ($1.99)...
Mimi si mtaalam sana wa computer. Nimeweka Ubuntu 10.10 kwenye computer yangu sasa nataka ni-install media player software ya Exaile-0.3.2.0 nimeshai-download ila sijui nianzie wapi. Nimejaribu...
wakuu naombeni msaada laptop yangu imekuwa kmeo kila nikiwasha inawasha taa za blue tu baada ya sekunde inazima akuna kinachoendelea nimebahatika kuwaona wataalamu wawili wananiambia akuna jinsi...
Line yangu ya tigo imekata mawasiliano jana mida ya saa tano hivi, nimeuliza watu kama watatu hivi naambiwa hiyo inatokea mara kwa mara kwa mtandao wa tigo na wamenishauri nika tengeneze line...
nikitumia modem idm hainiombi serial number once nikija kwn public network inagoma ku function mpk serial namba....wadau naomba msaada kuhusu hili tatizo.
Laptop yangu ni hp dv2500 win 7 ultimate nimejaribu kurepair disk by chkdsk na ile ya windows explorer ya check disk errors lakini inagoma.
msg inayotokea ni kudai restore to a certain date...
HACK
#44 Build Your Own Firefox Search Engine
Firefox's built-in search box lets you search Google from wherever you are. You don't have to settle for that built-in searching, though, because...
Contents
1 General information 5
1.1 About the manual 5
1.2 About Nero Express 5
1.3 Versions of Nero Express 5
2 Technical information 6
2.1 System requirements 6
3 Launching the program 7
3.1...
Are You Receiving Harassing Phone Calls? - Find Out Who is Calling
Mimi nina simu ya voda halafu nikakuta number ya simu inanisumbua sana na ni ya mtandao wa vodacom lakini sijui ni nani kapiga...
...Wireless energy transfer or wireless power is the transmission of electrical energy from a power source to an electrical load without interconnecting wires!power transmission differs from that...
Hey guys how are u going 2 do when u want to snap something in your labtop and when you double click on any folder it doesn't open,when u use external mouse it works properly wat are you going 2 do?
Wanajamvi mara nyingi nimekuwa naona wanajamvi wanaleta matatizo wakiomba kusaidiwa. Uzuri wa jamvi hili tunkutana watu wenye uelewa , uwezo, na profession tofauti tofauti.
Lakini binafsi...
Wakuu laptop hp g5000, OS window xp inakataa kuwaka kawaida, nikibofya kitufe cha kuwashia inaanza vizuri kwa logo ya hp invent kisha inakuja msg inasema:
wndows did not start succssfuly.a recent...
Rapidshare is one of the most frustrating websites to download large files off of, especially if they are broken into many pieces while Megaupload positively shines in comparison. So why do...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.