Ever asked yourself, what is the role of the IT department in your organization? In our books, the IT department has one role; to enable the organization to deliver products and services, by...
Guys hope mnaenjoy wikend,nimeshawishika kudownload ubuntu na kuitest kama itaeza kuwa 2nd OS yangu,nimedownload,burn to cd. But nikiwa na install ikiwa inaextract files kuna mahal inafikia...
Mambo JF sasa nataka kuinstal ubuntu au linux. Naomba kujua namna ya kuinstal na pc iwe na sifa ipi na je naweza kuinstal ubuntu/linux ktk pc yenye winXP na je ubuntu/linux naweza kuinstal program...
nimekuwa nikijiuliza kwa nini simu za mkononi zinahitaji minara mingi tofauti na ile ya redio.karibu maeneo mengi yana minara ya simu lakini minara ya redio sijawahi kuiona huku mitaani lakini...
Nataka ku-Install Wine Microsoft Compatibility Layer kwenye Ubuntu lakini napata haka kaujumbe ,,,Could not find package'wine' Nimejaribu Ku-google sana na bado sijapata suluhisho,,Plzz kwa...
Nikiwa uwanja wa ndege huwa naona ndege zikitaka kutoka kwenye terminal kwa kurudi nyumza zinasukumwa na vigari vidogo
Je ina maana ndege hazina mechanism ya reverse gear or reverse...
Watalaam wangu kuna mtu akiomba kutumia laptop yangu anapenda sana kufungua folder zangu sasa nyingine kuna documents za siri, naomba mwenye software ya kufunga folder[folder lock] anisaidie jamani
Naishauri Serikali next time ikitaka kubinafsisha Mashirika ya Umma; kuliko kuwauzia wale wanaowaita Wawekezaji, bora waiuzie Machine ya WATSON. Machine hii inauwezo wa kufanya mambo kwa ufanisi...
nafahamu uhusiano wa vipimo tofauti mfano uzito(kg,g etc), urefu(km, m,sm etc) lakini naomba kufahamu uhusiano wa vipimo vya memory.
gigabyte moja ni sawa na bytes ngapi? vilevile kwa megabyte na...
Wadau ni kampuni au mashirika gani ni leaders na ni mfano katika kutumia teknolojia mbali mbali za ICT
Kwa wanaojua tutaje kampmuni au shirika katika kila kigezo ambalo tunadhani liko fit na...
Naombeni msaada rafiki yangu alikuwa anatumia lappy yangu sijui aliingia wapi maana virus zimevamia hadi anti virus software haifanyi kazi kuzitoa
Nimezima broadband connection ila bado...
Waaaaw wanateknohama
kuna baadhi ya file ziko katika format ya avi. Nataka niziweke kwenye format itakayozifanya ziweze kuchezeka kwenye DVD player
Sasa baada ya ku google nimekutana na...
New Hacking Tools Pose Bigger Threats to Wi-Fi Users
iStockphoto
By KATE MURPHY
You may think the only people capable of snooping on your Internet activity are government intelligence...
Hi JF
Kuna office mpya tunaanzisha...Mie sio mzuri sana..nahitaji guidence kuhusu ku install Network printer.Tuko na LAN hapa ya internet ambayo kila mtu anaweza plug computer yake to wall...
How to Force the CPU to Run at Full Speed Via the Registry
As you continually install and uninstall programs, components of these programs will stay behind in your computer's registry system...