Haya Watalaam nawasalimia kwanza nataka kuunda Computer yangu nauliza ipo bora kutumia CPU kati ya hizi mbili Model? AMD vs. Intel ? na Motherboard ipi iliyo Kiboko na Grphic Card kati ya hizi...
Today I've not been able to access the Internet using TTCL Broadband Service - And no word or any sort of notification have been issued by TTCL Management!
Kwa kuifanya simu yako Wi-Fi HotSpot waweza kuunganisha kwenye internet laptop zako kwa wireless haijalishi ni laptop ngapi, zote waweza kuziunga kwa wakati mmoja.
Download and install Joikuspot...
By ANTHONY MATHIAS KAYEJI 2010
HOW SCIENCE CAN BE POPULARIZED IN TANZANIA
Tanzania like many other countries in the world has been making deliberate efforts towards developing and improving...
habari zenu wana jamii 4rums
ndugu tunaongelea mengi kwenye hili jukwaa kuhusiana na maswala ya computer ila nimekaa nikafikiri kwa mwanafunzi wa sekondari kompyuta inaumuhimu gani kwake...
Mwaka 2010 umekuwa wa kipekee kwa namna nyingi kwenye masuala ya teknohama nchini , umekuwa matukio mengi yaliyohusiana na teknohama nchini mengine ya kuharibu nchi na mengine ya kujenga nchi...
Watanzania wezangu napenda kuwa fahamisha katika nchi za wenzetu chombo kama dstv kilichopo tanzania kina fanya kazi ya ku provide internet na television lakini kwa hapa tumeshindwa kufahamu...
TROJAN
ni mfumo wa recomand key ambao mafaili yana weza kuya fanya mafaili mengine kufanya yanavyo taka.
FAIDA
utumika kwenye crank vitu ambavyo vimelock
urecommand computer
uwa kama akimu...
Good Morning,
Shaloom wana wa JF,Nilikuwa natamani sana kuInstall Ubuntu au Linux Mint kwenye Laptop yangu sasa tatizo Laptop hiyohiyo ndio nayoitumia kwa kazi za kiofisi,Na System ninayotumia...
KATIKA NJIA ZA KUFANYA ZIPO NJIA NYINGI ZA KUFANYA KWA HARDWARE AU SOFTWARE
HARDWARE
SEHEMU YA CMOSS BETTRY HITOE KWA MUDA WA SIKU MBILI HILI AC ZIPOTE KUMBUKUMBU
KAMA IMESHINDIKANA
SOFTWARE...
Hivi inakuwaje makampuni ya simu kama voda,tigo na airtel bei sms ni juu kiasi hiki? yaani sms moja ni zaidi ya tsh 100/=, au nao ndio msimu wao wa kuvuna?
Nasikitika sana kweli ndomaana yesu na uruma yake yote sisi wanadamu tuka mtundika msalabani na mimi si mtanifanya hivyo kuomba kwamba msaada si kwapesa kukuonyesha kwamba na weza sio natania...
STEP
INGIA KWENYE DESKTOP>RIGHT CLICK MOUSE OPEN TEXT.DOCUMENT
KISHA INGIZA JINA JINA KABLA YA KUINGIZA KITU NDANI YA TEXT.DOC na isave kwa jina ili
(EICAR Test code)
KISHA NDANI YA HIYO TEXT...
Hotfile.com Hourly Limit Bypass Hack
So youve found yourself wondering why you can bypass the wait timer downloads, but havent had any success trying to bypass the HotFile.com hourly limit...
Wakuu habari zenu popote mlipo, mimi nina tatizo la kufungua html files kwenye pc yangu. Nashindwa kuelewa kwa nini hazifunguki coz sio zote kuna baadhi zinafunguka, na kinachonishangaza zaidi ni...
Kuna jamaa yangu kanipigia simu kuwa amesahau password yake hivyo hawezi kuaccess laptop yake.
Sikuwa na jibu hivyo wadau nawaombeni msaada ili nimsaidie jamaa yangu.
Kumzuia Jirani yako asitumie Wireless Connection yako bure bure tumia njia hii hapa Chini
Hi there. What's happening here is that your router is broadcasting what's called a SSID (a name...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.